π€£π€£π€£π€£πYani nimlee mwanangu kwa nguvu zote halafu panya buku mmoja aje ajipigie kama ngoma , eti kaambiwa kwenye kitabu cha huko mashariki ya kati π€π€π€, ole wake nisikie naifyetulia miguu yake mbali ,ajikongoje na magongo tu aiseeπ€π€
Sijaona unalalamika nini na unasema nini. Yaaani umebwabwaja. Mimi sijaona ajabu nimeweka msisitizo kuwa kama hawasikii wachapwe..... Wewe unapinga kisha unakubali...π€£Kwamba maelekezo yote hujayaona wewe umeona kupiga tu? hakuna ajabu mwanamke kupigwa kama sio Mtiifu kwa mumewe , vinginevyo utulie wewe ulipiwe mahari uolewe, mkeo atakuwa yeye ndio baba
Unajua Nimeangalia Comments Nyingi Humu Za Ndugu zangu wakristo wakishabikia Kuhusu hili swala Wakajisahau hata wao Wana Aya na Mafungu yanayofanana na Hayo tena Huenda Zaidi ya Hayo na Yenye Hatari zaidi...
Mnawaonea Sana waislam Lakini Vitabu vyote viko Sawa..
Nianze kuchambua Sasa
Mithali 20:30
"Machubuko ya fimbo husafisha uovu, Na mapigo hufikilia ndani ya mtima"
Mtu akitandikwa Bakora Vizuri zikamwingia Kabisa na akapata machubuko Basi uovo wake hautajirudia Tena (Kuliingana na Biblia)..
Hapa.Chini Ni Mchungaji akiwatandika Barabara Waumini Waliokiri Kiwa Na Dhambi ili.kuondoa Uovu wao kama.Ilivyosema Mithali...Je tutamlaumu kwa Kufanya Hivyo? BIBLIA inasema Michubuko Ya fimbo Husafisha Uovu?
View attachment 3137918
Tukimuacha Mchungaji Kwa Kufata Maandiko ama kwa kuamua Kwenda sambamba na Maandiko Tuendelee
Mithali 23:12-14
"Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu."
Biblia Inaelekeza Kumpiga Mtoto kw Fimbo mpaka akili yake Ikae Sawa na Usimnyime Kipogo hicho Ns unatakiwa Utembeze Bakora Ili uokoe Nafai yake...
Sasa Kosa La Quran Kuonekana Kitabu Kibaya Ni kipi Kama Tunatetea Upande Tuangalie na Kwetu kukoje?
Quran Imesema Mwanamke asipokutii (Tuseme labda Kuchepuka) ifate Taratibu za kumshauri, Ukiona Bado hakusikii, Hama chumba (Tafsida hiyo maana yake Mnyime haki yake ya Ndoa)..ukiona bado hakusikii Mchape Pigo lisiloumiza..
Hiyo Ni Quran Sasa Bible Inasemaje Kuhusu Mke asiyesikia au Mke Muovu..
Mithali 21:9
"Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi."
kwahyo Ni afadhali Kumuhama Chumba Kuliko kukaa Ndani na Mwanamke Mgomvi asiyesikia Ushauri wako au Unasihi wako Its same as Aya uliyoleta..hiyo.Ni steps 2 Kutoka kwenye aya Uliyoleta..
Kuhusu Kutii
Waefeso 5:22-25
"22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.
23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
24 Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;"
Mwanaume Akilala na Mke wake akakuta Mke wake Sio Bikra akashitaki na Kusema Mke wake sio Bikra na ana mchukia..
mwanaime Akiwa Amedanganya na wazee wa Mke wakathibitisha kuwa Binti alikuwa Bikra Atatozwa Pesa kadhaa Na ataachiwa Huru na Yule mwanamke haruhusiwi kuondoka kwa Mumewe....
Ila kama mwanamke akakutwa Sio Bikira Basi Huyo mke Atapigwa kwa Mawe mpaka Kufa (Kumbukumbu la Torati 22:13-21)
Na Mengine Mengi soma Hapa Chini...
View attachment 3137871
View attachment 3137872
Sasa Nilitaka Kusema Nini Dini zote zina Makosa Yanayofanana au Yanayozidiana Kunyoosheana Vidole Hakuwezi kuondoa Makosa Yaliyopo Kwako au Kukufanya Ujisikie vizuri kwa Kumsema Mwingine..
Tuishi kwa Amani na Kidumisha Upendo
Ah!! dunia ya leo imegeuka shehe wangu''siku hizi wazungu wametuletea mambo ya haki sawa mazee!!!!,,,,kuna sheria nyingi zinawapendelea wanawake,,ukisema umpe kichapo utaishia JELA na ukifanya mchezo huko jela utaliwa KIBOGA!!!,,njia bora ni hiyo ya KUWAHAMA!!!!,,,,,,,unapotelea kusikijulikana!!!Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha,
Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao.
Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
Kumbe ndo manake MUNGU aliwaadhibu WAISRAIL kwa kuwatumia HAMAS [hii picha inatia sana KINYAA-najisikia kutapika],,'''' unajua ukisoma BIBLIA takatifu agano la kale MUNGU alikuwa akiwatia wana wa ISRAIL mikononi mwa maadui zao kila walipokuwa wakikengeuka,,,'kumbe ndo manake hii vita imekuwa ngumu kwao!! da!! nilikuwa sijui,,,kwa style hii,,,,,siwasapoti tena waisrail,,,manake ntakuwa napingana na makusudi ya MUNGU!!!,,,,,wacha wapigwe mpaka wakataze ushoga nchini mwao!!!!!....wapumbavu sana,,,,taifa takatifu linaruhusu sherehe za WASENGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari Komeo Lachuma Ni wapi Nimetaja Kuwa Mimi ni Mkristo, Mbudha au Muislamu??USIJIFICHIE KWENYE KIVULI CHA KUJIITA MKRISTO. ACHA UNAFIKI SHEIKH WANGU...SOMA QURAN UIFAHAMU UWE MUISLAMU SAFI NA UJIVUNIE UISLAMU WAKO
Haya maelezo umeyatoa wapi?swala la kupigwa kwanza mwanamke hapigwi usoni hata kidogo kwakuwa hiyo ndiyo reception lkn pili hapigwi kipigo cha mbwa mwizi
Free World wanajiitaKumbe ndo manake MUNGU aliwaadhibu WAISRAIL kwa kuwatumia HAMAS [hii picha inatia sana KINYAA-najisikia kutapika],,'''' unajua ukisoma BIBLIA takatifu agano la kale MUNGU alikuwa akiwatia wana wa ISRAIL mikononi mwa maadui zao kila walipokuwa wakikengeuka,,,'kumbe ndo manake hii vita imekuwa ngumu kwao!! da!! nilikuwa sijui,,,kwa style hii,,,,,siwasapoti tena waisrail,,,manake ntakuwa napingana na makusudi ya MUNGU!!!,,,,,wacha wapigwe mpaka wakataze ushoga nchini mwao!!!!!....wapumbavu sana,,,,taifa takatifu linaruhusu sherehe za WASENGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
wapumbavu tu hao!!!,,,unakuta m2 anatembea huku anajamba kama sub-woofer kumbe hana marinda!!Free World wanajiita
Ndio maana wengine hatutaki mambo yake. Uonevu umezidi huko.Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha,
Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao.
Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
πππmkuu tuishie hapo hii sub -woofer ina jieleza vizuriwapumbavu tu hao!!!,,,unakuta m2 anatembea huku anajamba kama sub-woofer kumbe hana marinda!!
Kumhama Nyumba au Chumba?Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha,
Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao.
Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu
Aya haijafunga iko wazi, imesema muwahame tupu..Kumhama Nyumba au Chumba?
Aya gani Mkuu?
Kaeni huko huko, hujashikiwa bunduki uje huku.Ndio maana wengine hatutaki mambo yake. Uonevu umezidi huko.
Na hizi sheria ndio zinawaharibu zaidi, zinawatia ujeuri.Ah!! dunia ya leo imegeuka shehe wangu''siku hizi wazungu wametuletea mambo ya haki sawa mazee!!!!,,,,kuna sheria nyingi zinawapendelea wanawake,,ukisema umpe kichapo utaishia JELA na ukifanya mchezo huko jela utaliwa KIBOGA!!!,,njia bora ni hiyo ya KUWAHAMA!!!!,,,,,,,unapotelea kusikijulikana!!!
π€£π€£π€£π€£ Kwamba ni njiti ya Chelsea,kweli hizi hadithi za kuvutia za watoto.Doktori umeongea vizur sana na kudadavua inavyotakiwa
Bahati mbaya sana kila mjinga au mpuuzi ambaye huja kwa nia ya kuudhalilisha uislamu huwa haachwi hivi hivi bali hupata majibu yake
Kwa kuongezea tu,linapokuja swala la kupigwa kwanza mwanamke hapigwi usoni hata kidogo kwakuwa hiyo ndiyo reception lkn pili hapigwi kipigo cha mbwa mwizi bali kipigo cha kumkumbusha makosa yake
Ni kama vile nabii ayubu wakati wa maradhi yake wakati mkewe anamsema vibaya,aliapa kwamba akipona atakuja kumchapa na fimbo,lkn fimbo yenyewe ilikuwa ni njiti tu ya chelewa
Asante
Mmeridhika na mliowashikia majambia wakaja? Umewahi kujiuliza hii kitu iliingiaje kwenye familia yako? Huenda kwa nguvu ya jambia! Sasa wewe leo uko huru sio lazima ubaki huko.Kaeni huko huko, hujashikiwa bunduki uje huku.