makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #41
Mzazi wangu ama ukoo wamgu haukushikwa jambi, lakini pia mie sio muislam kisa nimeukuta, nimesoma nimeridhika nao.Mmeridhika na mliowashikia majambia wakaja? Umewahi kujiuliza hii kitu iliingiaje kwenye familia yako? Huenda kwa nguvu ya jambia! Sasa wewe leo uko huru sio lazima ubaki huko.
Kuhusu majambia ilibidi useme wapi ili nikuelekeze,
Majambia ya kwanza kabisa mtume na wafuasi wake,
Mtume alikiwa akiishi maka, akatangaza utume wake maka, wakamkataa akawa akiwahubiria wakamkataa, wakawa wanamfanyia vitimbi yeye na mateso kwa watu wanaoslimu,
Akapata nafasi ya kuishi madina, watu wa madina wakampokea, akaishi na watu wake, lakini watu wa maka bado wakawa wanawafanyia vitimbi, ikiwemo kupora misafara yao ya biasha na kadhalika, hapo sasa ikabidi mtume na wafuasi wake wakazichape kujitetea.
SHIDA IKO WAPI kushika jambia hapo?