Kama mwanamke upo hivi njoo uringe

Kama mwanamke upo hivi njoo uringe

Umesahau kuweka na nyumba kali haswa na ni yake mwenyewe sio ya kupanga!
 
Kama hawawezi kujigharamia mbona tunapigana nao vikumbo kwenye fursa mbalimbali zikiwemo ajira huku wakitokwa povu kutaka usawa wa 50/50.....kama vipi warudi kukaa nyumbani na kulea watoto badala ya kukomalia fursa na hawataki kuchangia chochote.​

Tupo tume jaa tele tunao waambia boyfriend zetu wapite kushoto kwenye ndinga kali
 
Njoo ujishaue kama upo hivi,

~ Mwanamke usiyeomba hela.

~ Njoo mwanamke unayependa na kula utakavyo kwa pesa yako bila kuhongwa wala kubegi mtu.

~ Njoo kama ni mwanamke anayefanya juhudi kuonekana unaweza kujifanyia shopping, kulipa chochote bila a guy.

~ Njoo jishaue kama humtegemei mtu kwa juhudi uliyopo, njoo uringe hapa jukwaani njoo.

~ Njooo kama unaendesha ndinga kali wala hujaongwa, wala hujasaka hela kwa a guy, ni juhudi yako wewe, njoo uje uongee hapa.
Ww itakua ni MC wakitchen party 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom