Kama mwanamke upo hivi njoo uringe

Umesahau kuweka na nyumba kali haswa na ni yake mwenyewe sio ya kupanga!
 
Kama hawawezi kujigharamia mbona tunapigana nao vikumbo kwenye fursa mbalimbali zikiwemo ajira huku wakitokwa povu kutaka usawa wa 50/50.....kama vipi warudi kukaa nyumbani na kulea watoto badala ya kukomalia fursa na hawataki kuchangia chochote.​

Tupo tume jaa tele tunao waambia boyfriend zetu wapite kushoto kwenye ndinga kali
 
Ww itakua ni MC wakitchen party 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…