Kama Mwanasheria Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria na aliingia kikaoni, Yanga wameshinda kesi ya Feitoto

Watu wa Simba hili swala wamelishikia bango, wamesahahu hata kusajili, haya tunawakumbusha brother Kibu naye bado yupo yupo sana,yupo zake Dubai anakula upepo.

Dogo kashindwa kufuata taratibu anacho kipata anastahili.
 
Ndio maana sisi mashabiki wa simba tunaonekana oya oya na mambumbumbu
 
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua, Alex Mgongolwa wakili maarufu nchini na mwanachama kindakindaki wa Yanga aliingia kwenye kikao cha kujadili suala la Feitoto wakati akijua kabisa kuwa kuna conflict of interest, Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria TFF inayojadili suala la Feitoto lakini ni mwanachama wa yanga, mawakili wa Feitoto walimwekea pingamizi lkn bado aliingia kikaoni.

Sasa mnadhani Utopolo itashindwa hapo? Mnaokaa kudhani kuwa Feitoto atashinda kesi mnapoteza muda wenu bure, cha msingi suala hilo liende CAS, huku bongo kumejaa ubabaishaji mno, ujanja ujanja, unafiki, mapenzi na uhuni
Wa kufa mtu.

Feitoto akishinda kesi ntahama nchi hii

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
We kweli jamaa alikuwa ni sehemu ya wajumbe wa kamati walio sikiliza shauri la yanga ? Kama ni ivyo badi hapo lzm Fei aende aka appeal
 
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua, Alex Mgongolwa wakili maarufu nchini na mwanachama kindakindaki wa Yanga aliingia kwenye kikao cha kujadili suala la Feitoto wakati akijua kabisa kuwa kuna conflict of interest, Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria TFF inayojadili suala la Feitoto lakini ni mwanachama wa yanga, mawakili wa Feitoto walimwekea pingamizi lkn bado aliingia kikaoni.

Sasa mnadhani Utopolo itashindwa hapo? Mnaokaa kudhani kuwa Feitoto atashinda kesi mnapoteza muda wenu bure, cha msingi suala hilo liende CAS, huku bongo kumejaa ubabaishaji mno, ujanja ujanja, unafiki, mapenzi na uhuni
Wa kufa mtu.

Feitoto akishinda kesi ntahama nchi hii

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Huyo Fee aende CAS kwa kigezo kipi?! Acheni kuetetea vitu msivyokuwa na upeo navyo....
 
Inategemea mkataba wa Chama, inonga au Phiri ukoje kitu ambacho hamtaki kuelewa yanga walikosea kuweka kipengele Cha kununua mkataba Kwa kiwango walichotaja.
Yanga sio ya kwanza hata Neymar alipoondoka Barcelona kwenda PSG alinunua mkataba wake Kwa kiwango kilichowekwa
nimekwambia hapo kabla maamuzi ya fei kuvunja mkataba kuna nafasi kwa timu yenye mkataba nae kujadiliana nae hilo swala la kuvunjwa kwa mkataba kwanza,hapo ndipo alipofeli fei na wapuuzi wenzie waliomshawishi huo ujinga,vipengele vya kuvunja mkataba vipo ktk mikataba ya wachezaji ila uvunji vile unavyojisikia wewe au klabu,nikwambie tu sheria za mpira zinawa favour sana wachezaji ila mchezaji unatakiwa ufanye jambo lako ki smart km vile alivyofanya morrison
 
Inategemea mkataba wa Chama, inonga au Phiri ukoje kitu ambacho hamtaki kuelewa yanga walikosea kuweka kipengele Cha kununua mkataba Kwa kiwango walichotaja.
Yanga sio ya kwanza hata Neymar alipoondoka Barcelona kwenda PSG alinunua mkataba wake Kwa kiwango kilichowekwa
barca walikiuka moja ya vipengele vya mkataba wa neymar,mojawapo km neymar kuwa top player klabuni ila barca walishindwa kufanya hivyo ilikuwa ngumu kufanya neymar kuwa top klabuni mbele ya messi,

kwa majadiliano neymar akataka auzwe psg,barca wakagoma huku mkataba ulikawa na kipengele cha timu itakayofikia pesa ya usajili kwa neymar basi ilikuwa lazma auzwe km neymar mweneyewe anataka auzwe,na psg walikuwa tayari kutoa ile signing fee barca wakaendelea kugoma kumuuza ndipo neymar akawa na uhuru wa kutumia kipengele cha kununua mkataba wake kwa kiwango walichokubaliana...so kubaliana na mm kwamba neymar hakununua mkataba wake ghafla km fei tuliona kwanza vuta nikuvute kati ya neymar na barca na huku tukijua psg washaweka mzigo mezani

kwa feisali mambo yapo tofauti,yanga hawakukiuka kipengele chochote kwenye mkataba wa fei,fei hajawasilisha malalamiko yoyote kwenye uongozi na km aliwasilisha je aseme alipewa majibu gani na viongozi,mbaya zaidi haijulikani timu gani fei anaenda au iliyoleta ofa mezani km walivyofanya psg kwa neymar...so dogo hakuwa timing nzuri kwenye hili jambo lake.
 
Wakifikia hatua hiyo hakuna kugeuka nyuma ni mkono wa kwaheri waelekee wanakotaka, mtu had kuamua kuvunja mkataba hajakurupuka kadhamiria na anajua anacho kifanyaa.

Hivi hata akirud tena huko yanga huyo Fei bado atakua na imani hapo? Au yanga itakua na imani nae?
Kwani Wachezaji wangapi duniani wanagoma Hadi kwenda mazoezini kushinikiza wauzwe lakini timu zinagoma? Ndo mara ya Kwanza unaona Kwa Feitoto?
 
Wanagoma kwenda mazoezini na kushinikiza wauzwe ni tofauti kabisa na kununua/kuvunja mkatabaa. As if wee ndo huelewi.

Sorry shabiki wa yanga, sikua nakujibu wee. Naona povuu jingi lakutoka na sina nguo chafu mie. Poleeeeeeeh.
 
yanga hawapambani kumrudisha fei klabuni na ndo maana unaona wanaendelea kusajili kwasababu hawamtaki tena huyu dogo,wanachotaka wao yanga ni utaratibu kufatwa km una timu inakutaka waje mezani na ofa ili uuzwe na klabu iliyo na mkataba inufaike,kabla ya fei hajafikia maamuzi ya kuvunja mkataba na yanga,yanga wana haki ya kupewa nafasi ya kujadiliana nae kwanza.

Hivi imagine we ndo try again unaamka anambiwa chama,phiri na inonga wameingiza pesa kwenye akaunti ya klabu ya kuvunja mikataba yao unafanya nini?unavuta shuka na kuendelea kulala au...
Sasa si washarudishaa pesa wanayotakiwa kutoa kulingana na mkataba unavodai, ingekua wanaondokaaa buree sawa, kumbe hela wanarudsha kwa account?? Wasepeeeee.
 
Inategemea mkataba wa Chama, inonga au Phiri ukoje kitu ambacho hamtaki kuelewa yanga walikosea kuweka kipengele Cha kununua mkataba Kwa kiwango walichotaja.
Yanga sio ya kwanza hata Neymar alipoondoka Barcelona kwenda PSG alinunua mkataba wake Kwa kiwango kilichowekwa
Sasa tukiwaambia hivi, mashabiki wa utopoloo wanasema mkataba una vipengele vingi, sasa Fei hakusoma hivyo vipengelee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mashabiko wa utopoloooo ni hamnazoooo km alivyosepa Sope.
 
Sasa mchezaji km hataki team, hata akitakiwa kurudi na akaenda kufanya tofauti na matarajio ya waliomrudisha sasa ndo nn inakua?

Bora wamuachee aende anako taka, Dogo anatafuta maslahi yake.
Upenzi wa team leo Ngasa anashindia mihogo ya mama aziza Magomeni mikumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti unachokisema ww wala yanga haina shida nacho, alichokifanya fei ni uhuni na upumbavu.

Kwa mfano sisi yanga tumshawishi chama kisha tumpe pesa za kuvunjia mkataba na simba. Unafikri itakuwaje hapo?

Huyo fei yanga haimuihitaji tena ila yanga inachokifanya ni kuweka mambo sawa afuate utaratibu maana siku nyingine wachezaji wengine watarudiq kufanya huu upuuzi.

Ndioman Fifa walikataza hizi mambo za mchezaji kuvunja mkataba kienyeji kama fei maana walikua haya mambo lazima yatokee. Sio kwamba yanga inamng'an'ania fei acheze yanga ila yanga inatafuta haki yake ya kimkataba uheshimiwe
 
Mlishawahi kumshawishi Chama akawatolea nje au mmesahau mwakalebela alipoomba msamaha
 
Sasa mchezaji km hataki team, hata akitakiwa kurudi na akaenda kufanya tofauti na matarajio ya waliomrudisha sasa ndo nn inakua?

Bora wamuachee aende anako taka, Dogo anatafuta maslahi yake.
Upenzi wa team leo Ngasa anashindia mihogo ya mama aziza Magomeni mikumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, kuondoka sio shida. Taratibu zifuatwe. Period.
 
Huyo unayemlalamikia alikuwepo kwenye kesi ya Morison na yanga hebu tuambie ni nani alishinda hiyo kesi ?
 
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua, Alex Mgongolwa wakili maarufu nchini na mwanachama kindakindaki wa Yanga aliingia kwenye kikao cha kujadili suala la Feitoto wakati akijua kabisa kuwa kuna conflict of interest, Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria TFF inayojadili suala la Feitoto lakini ni mwanachama wa yanga, mawakili wa Feitoto walimwekea pingamizi lkn bado aliingia kikaoni.

Sasa mnadhani Utopolo itashindwa hapo? Mnaokaa kudhani kuwa Feitoto atashinda kesi mnapoteza muda wenu bure, cha msingi suala hilo liende CAS, huku bongo kumejaa ubabaishaji mno, ujanja ujanja, unafiki, mapenzi na uhuni
Wa kufa mtu.

Feitoto akishinda kesi ntahama nchi hii

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Yeye Fei Toto ndo ahame nchi achukue uraia wa uarabuni maana Bongo tuna nongwa...kipaji chake hawataki kimlipa vizuti..imepata pazuri wanamganda kama huu sio utumwa kwenye nchi yako ni nini ? Naongea kama shabiki wa Yanga....hii haikubaliki.
 
Sasa mchezaji km hataki team, hata akitakiwa kurudi na akaenda kufanya tofauti na matarajio ya waliomrudisha sasa ndo nn inakua?

Bora wamuachee aende anako taka, Dogo anatafuta maslahi yake.
Upenzi wa team leo Ngasa anashindia mihogo ya mama aziza Magomeni mikumi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngassa ameooteana kiuchumi? Huyu sio mtu wa kwanza kuenjoy maisha ya soka la bongo kaimbwa kama Pepe Kale
 
Yanga mkataba waliompa Fei toto hauna hizo blabla za masharti ya majadiliano, Yanga wabovu sana wametengeneza mkataba usiofatq kanuni za FIFA wanajamba jamba tu.

Hilo sharti la kukaa mezani sio ishu Yanga wamempa Fei mkataba wa kichoko unaomruhusu Mwamba Fei kwenda kusaka ulaji kwingine.
 
Yanga hawana wanasheria nikumbushe kesi waliowahi kushinda wanasheria wa yanga
 
Back
Top Bottom