Kama Mwanasheria Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria na aliingia kikaoni, Yanga wameshinda kesi ya Feitoto

Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Hivi ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kwa Jemedari endapo Mgongolwa angekuwa kwenye hiyo kamati?! Nadhani Mgongolwa yupo kwenye Kamati ya Rufani na sio hii ya akina Fei. Hii kamati ilikuwa inaongozwa na Dr Wanjala ambae nakumbuka alikuwa na matatizo na TFF kwahiyo sina hakika kama bado yupo. Makamu wake alikuwa Said Soud.
 
Huyo unayemlalamikia alikuwepo kwenye kesi ya Morison na yanga hebu tuambie ni nani alishinda hiyo kesi ?
Kwenye kesi ya Morison na yanga hakuwepo ila baada ya hukumu ya Morison iliyotolewa na kamati ya TFF alizungumza sana na kukosoa maamuzi na alikuwa moja ya mawakili waliowakilisha yanga cas
 
TFF wameshindwa kabisa kulisimamia hili suala kiuweledi, wapo kiswahili sana, wanaonesha walivyo dhaifu na wasio huru kusimamia haki za wachezaji.
Waliwezaje la Morrison washindwe na hili?
 
Kusema kwamba sasa hivi mchezaji akiwa haitaki team basi avunje tu mkataba bila kuzingatia taratibu eti kwakuwa anafuata maslahi yake kwingineko?
 
Sasa si washarudishaa pesa wanayotakiwa kutoa kulingana na mkataba unavodai, ingekua wanaondokaaa buree sawa, kumbe hela wanarudsha kwa account?? Wasepeeeee.
pesa ya kuvunja mkataba haina nafasi kabla ya majadiliano
 
Kusema kwamba sasa hivi mchezaji akiwa haitaki team basi avunje tu mkataba bila kuzingatia taratibu eti kwakuwa anafuata maslahi yake kwingineko?
Ndo maaana yake anavunja mkatabaa,
 
Ngassa ameooteana kiuchumi? Huyu sio mtu wa kwanza kuenjoy maisha ya soka la bongo kaimbwa kama Pepe Kale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaishiwaaaaaa mnoooo.
 
Unaona inaleta mantiki?
 
pesa ya kuvunja mkataba haina nafasi kabla ya majadiliano
Kamati ileile iliyoamua kesi ya Morrison na Yanga ndio ileile inaonekana kutotenda haki kwenye kesi ya Feisal na Yanga.

Hii ni tangu iamue kuwa Feisal bado angali na mkataba na klabu yake[emoji23]
 
Uzoefu Umeonyesha Wakienda Huko Yanga Anaangukia Pua ,Ama Chali Cha Mende
Uzoefu unasema.

Maamuzi yeyote yanayoamuliwa na kamati ya maamuzi ya TFF hayajawahi kubatilishwa pale kesi inapopelekwa katika ngazi ya CAS.

remember hilo pia.
 
Kamati ileile iliyoamua kesi ya Morrison na Yanga ndio ileile inaonekana kutotenda haki kwenye kesi ya Feisal na Yanga.

Hii ni tangu iamue kuwa Feisal bado angali na mkataba na klabu yake
sawa ila la morrison na fei ni tofauti sana
 
Tusubiri CAS waamue tofauti lkn ikiwa km TFF basi ww utakuwa na matatizo
 
Kamati ileile iliyoamua kesi ya Morrison na Yanga ndio ileile inaonekana kutotenda haki kwenye kesi ya Feisal na Yanga.

Hii ni tangu iamue kuwa Feisal bado angali na mkataba na klabu yake[emoji23]
Kama to ile mwenyekiti alikuwa Mwanjala Yanga kindakindaki saizi napo tena wanataka Kusema Mgongolwa yaani hakuna mahali itaenda nchi hii ukakosa mtu wa Yanga
 
TFF wameshindwa kabisa kulisimamia hili suala kiuweledi, wapo kiswahili sana, wanaonesha walivyo dhaifu na wasio huru kusimamia haki za wachezaji.
Tunaomba uelewa wako wakisheria juu ya sakata ili la Feisal na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…