Kama Mwanasheria Mgongolwa ni makamu mwenyekiti wa kamati ya sheria na aliingia kikaoni, Yanga wameshinda kesi ya Feitoto

Naomba ufafanuzi wako wa kisheria juu ya sakati hili la Feisal dhidi ya Dar Young African.
 
Kamati ileile iliyoamua kesi ya Morrison na Yanga ndio ileile inaonekana kutotenda haki kwenye kesi ya Feisal na Yanga.

Hii ni tangu iamue kuwa Feisal bado angali na mkataba na klabu yake
Kamati Ile haikuwa na mgongolwa ambaye alipoenda maamuzi yake na kwenda kuiwakilisha yanga kwenye kesi ya cas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…