Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali.
Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi si halali?
Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi si halali?