Kama mwanaume, hizi ni baadhi ya changamoto za kufanya kazi na wadada, sehemu moja ya ofisini

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Habarini,

Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada

1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la maji ya dispenser toka sakafuni na kuliweka juu ya dispenser kwa vile yeye ni mwanamke, ukikataa ata akija mdada mwingine hapo ofisini ambae ni mfanya usafi, hatoweka hilo dumu, ataitwa mwanaume mwingine toka nje ya ofisi aweke hilo dumu, hadi huyo mwanaume anaeitwa anashangaa na kusema hiki ni kitu cha kumuitia mtu, ukikataa kufanya hizo unreasonable demands, mtu anachukia, sasa bora hiyo, mwingine atakufata ataomba umsaidie kufungua mfuniko wa kikombe chake, as if yeye mwenyewe hawezi fungua, yaani very unreasonable demands.

2) Unamfata mdada kumuongelesha vizuri tu kwa kumsalimia, unajibiwa majibu ya kunya, ilhali hujamkosea chochote na yeye hajawahi kukukosea chochote.

3)Unaweza kwama kitu kidogo sana cha kikazi ambacho hakitam-cost mdada kitu chochote, na ofisini kuna mdada unafahamiana nae na mmezoeana kwa kiasi chake, anao uwezo wa kukusaidia, ila atakataa kukusaidia, ilhali hapo nyuma baadhi ya changamoto zake unakuta ulishamsaidiaga, mpaka mtu unashangaa.

4) Kununiwa kwa vitu ambavyo ni unreasonable hio ni pi, mbaya unakuta unanuniwa na mtu ambae mko nae desk moja, hivyo kumpotezea kabisa unaona jau, kuokoa situation inabidi kidume ujishushe tu uongee nae kazi isiwe chungu na kuepuka awkward situation, unawaza angekua ofisi tofauti hata akinuna inakua ni rahisi tu kum-shit.

Mwanajf mmoja aliwahi sema Kazi kweli kweli/ Job true true
 
Kupenda kununuliwa Zawadi ukitoka nje ya ofisi,

Unaweza Aga mate wakike oya naenda nje kwa mishe flan utasikia sasa KB niletee piza basi au anaweza taja Zawadi yeyoye ila yeye akitoka haleti hata chewing GUm

kuna dem anapenda kunywea chai Mug yangu, ila anaiacha na lipsick ya kutoshaa.

Aisee.
 
Kazi ni kipimo Cha utu,
Acha kuwaendekeza hao wanawake unaofanya nao kazi wanakuchukulia poa...simama kiume haswa heshima yako itapatikana hakikisha hapo kazini unajua mambo mengi kushinda wao alafu kuwa busy na majukumu yako..
Ukiona Hadi wanakuita kunyanyua dumu ujue hapo heshima hakuna
 
Kupenda kununuliwa Zawadi ukitoka nje ya ofisi,

Unaweza Aga mate wakike oya naenda nje kwa mishe flan utasikia sasa KB niletee piza basi au anaweza taja Zawadi yeyoye ila yeye akitoka haleti hata chewing GUm

kuna dem anapenda kunywea chai Mug yangu, ila anaiacha na lipsick ya kutoshaa.

Aisee.
Kwahio mnabusiana bila kutaka
 
Habarini,

Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada

1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la maji ya dispenser toka sakafuni na kuliweka juu ya dispenser kwa vile yeye ni mwanamke, ukikataa ata akija mdada mwingine hapo ofisini ambae ni mfanya usafi, hatoweka hilo dumu, ataitwa mwanaume mwingine toka nje ya ofisi aweke hilo dumu, hadi huyo mwanaume anaeitwa anashangaa na kusema hiki ni kitu cha kumuitia mtu, ukikataa kufanya hizo unreasonable demands, mtu anachukia, sasa bora hiyo, mwingine atakufata ataomba umsaidie kufungua mfuniko wa kikombe chake, as if yeye mwenyewe hawezi fungua, yaani very unreasonable demands.

2) Unamfata mdada kumuongelesha vizuri tu kwa kumsalimia, unajibiwa majibu ya kunya, ilhali hujamkosea chochote na yeye hajawahi kukukosea chochote.

3)Unaweza kwama kitu kidogo sana cha kikazi ambacho hakitam-cost mdada kitu chochote, na ofisini kuna mdada unafahamiana nae na mmezoeana kwa kiasi chake, anao uwezo wa kukusaidia, ila atakataa kukusaidia, ilhali hapo nyuma baadhi ya changamoto zake unakuta ulishamsaidiaga, mpaka mtu unashangaa.

4) Kununiwa kwa vitu ambavyo ni unreasonable hio ni pi, mbaya unakuta unanuniwa na mtu ambae mko nae desk moja, hivyo kumpotezea kabisa unaona jau, kuokoa situation inabidi kidume ujishushe tu uongee nae kazi isiwe chungu na kuepuka awkward situation, unawaza angekua ofisi tofauti hata akinuna inakua ni rahisi tu kum-shit.

Mwanajf mmoja aliwahi sema Kazi kweli kweli/ Job true true
Na ukijichanganya ukamlala mmojawao, utataniwa na kila mmoja hapo.

Habari zitazunguka haraka kama moto wa nyika!

Halafu ni ofisi gani hiyo yenye wanawake watupu namna hiyo, Posta?
 
Kwan anaondoka nayo 🚮
Au siyo!
FB_IMG_1741704718369.jpg
 
Back
Top Bottom