realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Hadi wine yangu imekata 😅😅😅Hahah mdau amenipa jibu mpaka akili ika-stuck nikakosa cha kusema.

Fafanua zaidi.Lazima nipande lift kama Kuna mdau siwez kukuacha salama 😹😹😹💔
Nimemjibu anae lalamika jamanFafanua zaidi.
Aaah bas sawa.Nimemjibu anae lalamika jaman
Unafahamu vizuri kuhusu majukumu ya mwanaume..!??Wanaume simamieni majukumu yenu bila kulalamika.
Huyo demu mkule chap,ana hamu ya kushare mate na wewe jiongeze.Kupenda kununuliwa Zawadi ukitoka nje ya ofisi,
Unaweza Aga mate wakike oya naenda nje kwa mishe flan utasikia sasa KB niletee piza basi au anaweza taja Zawadi yeyoye ila yeye akitoka haleti hata chewing GUm
kuna dem anapenda kunywea chai Mug yangu, ila anaiacha na lipsick ya kutoshaa.
Aisee.
Acha kunisagia kunguni mbw wee🤣🤣jakaya alisema kula uliwe yakhe...
Sio kila mwanamke anaweza akaona mboo yangu chief, nitalala na wangapi sasa kwa maisha haya.Huyo demu mkule chap,ana hamu ya kushare mate na wewe jiongeze.
Sio kila kitu utafundishwa shuleni.
Tafuta hela kuepuka manyanyasoHabarini,
Sijui kama kuna wengine mmeliona hili, kwenye mazingira ya kazini, kuna vitu nimevi-observe mwanaume ukifanya kazi na wadada
1) Kutumwa kazi ambazo ni unreasonable: Imagine mtu anakwambia hawezi beba dumu dogo la maji na mwanaume uko hapo, yani mtu anakwambia hawezi beba dumu la maji ya dispenser toka sakafuni na kuliweka juu ya dispenser kwa vile yeye ni mwanamke, ukikataa ata akija mdada mwingine hapo ofisini ambae ni mfanya usafi, hatoweka hilo dumu, ataitwa mwanaume mwingine toka nje ya ofisi aweke hilo dumu, hadi huyo mwanaume anaeitwa anashangaa na kusema hiki ni kitu cha kumuitia mtu, ukikataa kufanya hizo unreasonable demands, mtu anachukia, sasa bora hiyo, mwingine atakufata ataomba umsaidie kufungua mfuniko wa kikombe chake, as if yeye mwenyewe hawezi fungua, yaani very unreasonable demands.
2) Unamfata mdada kumuongelesha vizuri tu kwa kumsalimia, unajibiwa majibu ya kunya, ilhali hujamkosea chochote na yeye hajawahi kukukosea chochote.
3)Unaweza kwama kitu kidogo sana cha kikazi ambacho hakitam-cost mdada kitu chochote, na ofisini kuna mdada unafahamiana nae na mmezoeana kwa kiasi chake, anao uwezo wa kukusaidia, ila atakataa kukusaidia, ilhali hapo nyuma baadhi ya changamoto zake unakuta ulishamsaidiaga, mpaka mtu unashangaa.
4) Kununiwa kwa vitu ambavyo ni unreasonable hio ni pi, mbaya unakuta unanuniwa na mtu ambae mko nae desk moja, hivyo kumpotezea kabisa unaona jau, kuokoa situation inabidi kidume ujishushe tu uongee nae kazi isiwe chungu na kuepuka awkward situation, unawaza angekua ofisi tofauti hata akinuna inakua ni rahisi tu kum-shit.
Mwanajf mmoja aliwahi sema Kazi kweli kweli/ Job true true
Sio lazima ulale naye,ainame tu kidogo unampelekea moto.Sio kila mwanamke anaweza akaona mboo yangu chief, nitalala na wangapi sasa kwa maisha haya.
Ni hatari bin danger,usiombe awe boss!Hutajuta.Habarini,