Kama mwanaume, hizi ni baadhi ya changamoto za kufanya kazi na wadada, sehemu moja ya ofisini

Huyo demu mkule chap,ana hamu ya kushare mate na wewe jiongeze.

Sio kila kitu utafundishwa shuleni.
 
Wanawake changamoto sana ,unaweza kumuona ana mume ila anaomba na kukopa pesa hazina maana ; Mfano mtu anataka ukompeshe 40k pesa ambayo ni ndogo sana kulingana na mshahara wake.

Wanawake wanapenda sana kuongea mambo ya ndoa kuliko wanaume ,wanapenda kumjua mtu kiundani zaidi.

KUwa na kiburi wakiwa wajawazito , Unakuta mtu anakunja sura tu bila ya sababu ... Kingine hawa wanawaheshimu jamaa zao ila wanadharau workmates .

Wanawake hawatabiri na excuses lukuki, wiki nzima hayupo anakuambia mwanangu alikuwa anaumwa ,mara yeye alikuwa anaumwa ila haangalia uzito wa kazi.

Kupenda kubeba mimba ,wakishajifungua ile maternity leave wanakaa sana huko ,kikubwa wanajua wanalipwa tu.
 
Tafuta hela kuepuka manyanyaso
 
Acha hiyo,kuna wale dizaini anataka kila saa mtizamane. Ujinga tu.
 
Ni hatari bin danger,usiombe awe boss!Hutajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…