Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo

Jamaa analalamika kua hapati unyumba,hapati mawasiliano,Kila kitu anajifanyia mwenyewe,nyege zipo pale pale kama mtu ambaye hajaoa😃😄

Ukweli ni huu vijana masimp,musiotaka kuambiwa ukweli:-

Mungu alimuumba mwanamke kwa ajili ya kuishi na mwanaume,hii hata kwenye biblia ipo wazi,yaani mwanaume anaweza kuishi mwenyewe,Adam aliishi mwenyewe,lengo la kuumbwa mwanamke ni kumsaidia mwanamume,.....mwanamke hakuumbwa kusearch purpose/goals kama mwanamume,goals namba Moja la mwanamke ni mwanaume

Yaani umelipa mahali,umeoa,umejaza watu ukumbini ,ili mwanamke wako asubuhi awahi kazini kumtumikia bosi,huku wewe ukipikiwa chai na housegirl,huu ni ufala,ukatae ukubali.

Umesoma,umetafuta pesa kwa shida,umetoa mahali,unamlisha na kumvisha mke wako,.......kisha usiku unamsubiri atoke kazini akiwa amechoka ili tu akunyime ku.ma😁😅😅

Hapaaana,hili sio lengo la ndoa.

Waulize wataalamu wa psychology na psychiatry, pale MNH,matatizo mengi ya magonjwa ya akili yanasabishwa na migogoro kati ya uhuru wa mwanamke na mahusiano,wanaume wengi wanapata stress,magonjwa ya moyo etc sababu za kupokwa,Ile power Yao ya uanaume,......yaani umeoa ili uje uishi Kwa stress?😃😆🤣

Bisha,jifunze,kataa,kubali,lengo la kwanza la mwanamke/mke unayemuoa lazima liwe ni mwanaume/mume,.......nje ya hapa tegemea migogoro,ubishi,kiburi,usaliti na vifo vitokanavyo na migogoro ya ndoa.

Sasa kwa nini ujitese?,sababu ya kuishi nje ya mfumo wa uumbaji,ambao mungu aliuweka.

Learn or Perish
 
.......

Yaani hapa kwanza kijana amekurupuka kuingia kwenye ndia akiwa haja mature, hana mental toughness.
And mwisho probably si type yake,

Kuoa westernized womans wa kipindi hiki, ili uje msaidiane maisha ni risk na vilio. Unless akupend mwenyewe

Avumilie kama mwanaume, mke yuko mbali, sometimes amfuate mwneyewe
Mwanaume wa kweli ana pambana
 
Kwa niliiyeoa..mke anaweza kuwa ufunguo wako wa life na pia anaweza kuwa njia ya kukupeleka kaburini!
Ana umuhimu lakini tuzingatie maamndiko yanavyosema.."ishi nae kwa akili"!
Akikuzoea,akajidai anakujua saaana kuliko unavyojijua...shida inaanzia hapo!
 
I choose to learn mkuu

Mwanamke ambaye yuko overly committed to her career sio wa kufanya naye maisha

Mwanamke kama huyo ataipa kipaumbele career yake kuliko mume wake

Shughuli za nyumbani za mke hatazipa kipaumbele kwake ni career kwanza.

She will prioritize her career over the kitchen, usishangae watoto wako wakawa wanalishwa junk foods ili aipambanie elimu au kazi

Atampa kipaumbele boss wake ili amfurahishe kuliko wewe

Atakuwa tayari kukucheat ili apate promotion kazini

She can never make a good wife to you and your kids

The more educated a woman is, the more she thinks she's equal with a man
 
Ndio ifike mahali mchague moja sasa either muoe wanawake wasio na elimu wala ajira halafu muwahudumie kwa kila kitu na mpate hiyo mnayoita raha ya ndoa, au muoe wanawake wenye elimu na ajira halafu msaidiane majukumu ila ndio muweke rehani hayo mamlaka yenu, na mkitaka mwanamke akiolewa awe mama wa nyumbani basi hakikisheni hamsomeshi binti zenu wakae tu nyumbani wakisubiri kuolewa ili wakawe wamama wa nyumbani
 
Back
Top Bottom