Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo

Jamaa analalamika kua hapati unyumba,hapati mawasiliano,Kila kitu anajifanyia mwenyewe,nyege zipo pale pale kama mtu ambaye hajaoa😃😄

Ukweli ni huu vijana masimp,musiotaka kuambiwa ukweli:-

Mungu alimuumba mwanamke kwa ajili ya kuishi na mwanaume,hii hata kwenye biblia ipo wazi,yaani mwanaume anaweza kuishi mwenyewe,Adam aliishi mwenyewe,lengo la kuumbwa mwanamke ni kumsaidia mwanamume,.....mwanamke hakuumbwa kusearch purpose/goals kama mwanamume,goals namba Moja la mwanamke ni mwanaume

Yaani umelipa mahali,umeoa,umejaza watu ukumbini ,ili mwanamke wako asubuhi awahi kazini kumtumikia bosi,huku wewe ukipikiwa chai na housegirl,huu ni ufala,ukatae ukubali.

Umesoma,umetafuta pesa kwa shida,umetoa mahali,unamlisha na kumvisha mke wako,.......kisha usiku unamsubiri atoke kazini akiwa amechoka ili tu akunyime ku.ma😁😅😅

Hapaaana,hili sio lengo la ndoa.

Waulize wataalamu wa psychology na psychiatry, pale MNH,matatizo mengi ya magonjwa ya akili yanasabishwa na migogoro kati ya uhuru wa mwanamke na mahusiano,wanaume wengi wanapata stress,magonjwa ya moyo etc sababu za kupokwa,Ile power Yao ya uanaume,......yaani umeoa ili uje uishi Kwa stress?😃😆🤣

Bisha,jifunze,kataa,kubali,lengo la kwanza la mwanamke/mke unayemuoa lazima liwe ni mwanaume/mume,.......nje ya hapa tegemea migogoro,ubishi,kiburi,usaliti na vifo vitokanavyo na migogoro ya ndoa.

Sasa kwa nini ujitese?,sababu ya kuishi nje ya mfumo wa uumbaji,ambao mungu aliuweka.

Learn or Perish
Huu ni ukweli mchungu,hili swala la kuwa na mwanamke umeoa halafu hupewi unyumba kisa kuchoka ni changamoto sana,mwezi uliopita nilipewa lift na jamaa,ghafla akaanza kuzozana kwenye simu na mtu anayeonekana ni mkewe,baadaye akafunguka,ukimuomba unyumba anasema nimechoka sasa anataka mimi niende wapi,nikajisemea moyoni yale yale...
 
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo

Jamaa analalamika kua hapati unyumba,hapati mawasiliano,Kila kitu anajifanyia mwenyewe,nyege zipo pale pale kama mtu ambaye hajaoa😃😄

Ukweli ni huu vijana masimp,musiotaka kuambiwa ukweli:-

Mungu alimuumba mwanamke kwa ajili ya kuishi na mwanaume,hii hata kwenye biblia ipo wazi,yaani mwanaume anaweza kuishi mwenyewe,Adam aliishi mwenyewe,lengo la kuumbwa mwanamke ni kumsaidia mwanamume,.....mwanamke hakuumbwa kusearch purpose/goals kama mwanamume,goals namba Moja la mwanamke ni mwanaume

Yaani umelipa mahali,umeoa,umejaza watu ukumbini ,ili mwanamke wako asubuhi awahi kazini kumtumikia bosi,huku wewe ukipikiwa chai na housegirl,huu ni ufala,ukatae ukubali.

Umesoma,umetafuta pesa kwa shida,umetoa mahali,unamlisha na kumvisha mke wako,.......kisha usiku unamsubiri atoke kazini akiwa amechoka ili tu akunyime ku.ma😁😅😅

Hapaaana,hili sio lengo la ndoa.

Waulize wataalamu wa psychology na psychiatry, pale MNH,matatizo mengi ya magonjwa ya akili yanasabishwa na migogoro kati ya uhuru wa mwanamke na mahusiano,wanaume wengi wanapata stress,magonjwa ya moyo etc sababu za kupokwa,Ile power Yao ya uanaume,......yaani umeoa ili uje uishi Kwa stress?😃😆🤣

Bisha,jifunze,kataa,kubali,lengo la kwanza la mwanamke/mke unayemuoa lazima liwe ni mwanaume/mume,.......nje ya hapa tegemea migogoro,ubishi,kiburi,usaliti na vifo vitokanavyo na migogoro ya ndoa.

Sasa kwa nini ujitese?,sababu ya kuishi nje ya mfumo wa uumbaji,ambao mungu aliuweka.

Learn or Perish
Bonge la Uzi, tena wa kufungia mwaka...👆👍
 
Huu ni ukweli mchungu,hili swala la kuwa na mwanamke umeoa halafu hupewi unyumba kisa kuchoka ni changamoto sana,mwezi uliopita nilipewa lift na jamaa,ghafla akaanza kuzozana kwenye simu na mtu anayeonekana ni mkewe,baadaye akafunguka,ukimuomba uchi anasema nimechoka sasa anataka mimi niende wapi,nikajisemea moyoni yale yale...
Nakwambia Chief, ni janga la kitaifa..
Ndoa nyingi ziko taabani... labda uwe na ka-uwezo wa kuhudumia mke wa pili inatulazimu sasa..🤔
 
Ndio ifike mahali mchague moja sasa either muoe wanawake wasio na elimu wala ajira halafu muwahudumie kwa kila kitu na mpate hiyo mnayoita raha ya ndoa, au muoe wanawake wenye elimu na ajira halafu msaidiane majukumu ila ndio muweke rehani hayo mamlaka yenu, na mkitaka mwanamke akiolewa awe mama wa nyumbani basi hakikisheni hamsomeshi binti zenu wakae tu nyumbani wakisubiri kuolewa ili wakawe wamama wa nyumbani
Nilitaka nishangae usije kutetea maisha kinyume na maandiko ya dini,........ila keshokutwa kanisani,unapayuka kuomba upate mume,..
 
Hivi vita ni vya kwetu wanaume, wanawake wanatii mifumo yetu. Mkeo atachoshwa na wengine huko sababu wamekuzidi nguvu ya ushawishi. Iwe ni mama wa nyumbani au yupo kazini, akipata mwenye ushawishi kukushinda atachoshwa tu.

Tuna mfumo wetu wa mwanaume mwenye nguvu ya ushawishi ndo ale nyama na tukaamua kuwa mwanamke ndo atafsiri hiyo nguvu ya ushawishi.

Sisi wanaume ndo tutapeana tabu sana maana mke wa mtu tunamuona mtamu kweli. Tupambane na hali zetu. Wanawake wataendelea kutupa, mambo mengine watatuachia sisi tumalizane tujuavyo.

NB: HATA KAMA UNA NGUVU YA USHAWISHI KIASI GANI, YUPO MWENYE USHAWISHI KUKUSHINDA SABABU WIGO WA USHAWISHI NI MPANA HUWEZI KUWA NA VYOTE. PONA YA MWANAUME IMEBAKI KWENYE HURUMA NA MISIMAMO YA MWANAMKE. HUNA CONTROL.
 
Wewe ni SIMP unayeelekea kwenye ugasho. Kuwa makini utaliwa mixx by yas
 
Maneno makali kweli umetumia boss ila hayana maana, madhara wala uhalisia. Uhalisia ni kama mwanaume huna ushawishi, wanaume wenye ushawishi watakuumiza hisia zako kwa kumchosha mkeo. Pona yako ni huruma na msimamo wa mkeo, huna control, Ni mfumo.
 
kuja jamaa yangu mke wake kaenda masomoni jijini dsm.
Huwa namtania unafanyeje ili mkeo asiliwe huko na wahuni.

Jamaa linanijibu, aliwe tuu kwani wanaondoka nayo.
 
We jamaa uliyeandika nifala sana sana unataka wanawake waishi kama huyo mke wako ambaye hajaenda shule bongolala
 
Kuna jamaa amekutana na binti ambaye anatoka familia ambayo wanajiweza vizuri tu. Binti kwao kuanzia baba,mama hadi ndugu zake wote wamenyooka.

Kwa kifupi binti hana njaa. Anafanya kazi airport. Tokea amekutana na mshikaji amekuwa akisuggest kuacha kazi ili awe mama wa nyumbani. Anasema anataka afanye kazi kwa bidii miaka michache sana then aanze majukumu yake ya kuwa mke na mama wa nyumbani. Anasema atafanya biashara na madili yake kutokea nyumbani hataki tena maswala ya kazi sababu anajua yatamharibia mahusiano na ndoa yake.
Wamefunga ndoa mwaka huu mwezi wa tisa. Ila walikuwa pamoja kama wapenzi tokea mwaka 2015.

Jamaa anasita sita na kama haamini katika hayo mawazo ya mkewe me nikamwambia kwa namna nionavyo,umepata mke anaye jitambua,huyu anataka mjenge familia na sio kutafuta pesa.

Jamaa hajiamini na hana uhakika kama mkewe anafanya jambo sahihi au la. Me nimemwambia mkeo anataka wewe uwe breadwinner wa familia na anataka uwe kiongozi wake.
 
Safi sana. Sasa basi mabadiliko yoyote huanza na wewe. Anza kwa kutokusomesha watoto wako wa kike ili waje kuwa wake wema kabisa.
 
Kuna jamaa amekutana na binti ambaye anatoka familia ambayo wanajiweza vizuri tu. Binti kwao kuanzia baba,mama hadi ndugu zake wote wamenyooka.

Kwa kifupi binti hana njaa. Anafanya kazi airport. Tokea amekutana na mshikaji amekuwa akisuggest kuacha kazi ili awe mama wa nyumbani. Anasema anataka afanye kazi kwa bidii miaka michache sana then aanze majukumu yake ya kuwa mke na mama wa nyumbani. Anasema atafanya biashara na madili yake kutokea nyumbani hataki tena maswala ya kazi sababu anajua yatamharibia mahusiano na ndoa yake.
Wamefunga ndoa mwaka huu mwezi wa tisa. Ila walikuwa pamoja kama wapenzi tokea mwaka 2015.

Jamaa anasita sita na kama haamini katika hayo mawazo ya mkewe me nikamwambia kwa namna nionavyo,umepata mke anaye jitambua,huyu anataka mjenge familia na sio kutafuta pesa.

Jamaa hajiamini na hana uhakika kama mkewe anafanya jambo sahihi au la. Me nimemwambia mkeo anataka wewe uwe breadwinner wa familia na anataka uwe kiongozi wake.
Huyo mwanamke ni fala sana
 
Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo

Jamaa analalamika kua hapati unyumba,hapati mawasiliano,Kila kitu anajifanyia mwenyewe,nyege zipo pale pale kama mtu ambaye hajaoa😃😄

Ukweli ni huu vijana masimp,musiotaka kuambiwa ukweli:-

Mungu alimuumba mwanamke kwa ajili ya kuishi na mwanaume,hii hata kwenye biblia ipo wazi,yaani mwanaume anaweza kuishi mwenyewe,Adam aliishi mwenyewe,lengo la kuumbwa mwanamke ni kumsaidia mwanamume,.....mwanamke hakuumbwa kusearch purpose/goals kama mwanamume,goals namba Moja la mwanamke ni mwanaume

Yaani umelipa mahali,umeoa,umejaza watu ukumbini ,ili mwanamke wako asubuhi awahi kazini kumtumikia bosi,huku wewe ukipikiwa chai na housegirl,huu ni ufala,ukatae ukubali.

Umesoma,umetafuta pesa kwa shida,umetoa mahali,unamlisha na kumvisha mke wako,.......kisha usiku unamsubiri atoke kazini akiwa amechoka ili tu akunyime ku.ma😁😅😅

Hapaaana,hili sio lengo la ndoa.

Waulize wataalamu wa psychology na psychiatry, pale MNH,matatizo mengi ya magonjwa ya akili yanasabishwa na migogoro kati ya uhuru wa mwanamke na mahusiano,wanaume wengi wanapata stress,magonjwa ya moyo etc sababu za kupokwa,Ile power Yao ya uanaume,......yaani umeoa ili uje uishi Kwa stress?😃😆🤣

Bisha,jifunze,kataa,kubali,lengo la kwanza la mwanamke/mke unayemuoa lazima liwe ni mwanaume/mume,.......nje ya hapa tegemea migogoro,ubishi,kiburi,usaliti na vifo vitokanavyo na migogoro ya ndoa.

Sasa kwa nini ujitese?,sababu ya kuishi nje ya mfumo wa uumbaji,ambao mungu aliuweka.

Learn or Perish
Ukweli mchungu. Unenikumbusha yule jamaa wa Guinea alivyorekodi wake za watu ambao wengi walikua watumishi wake.
 
Mwanamke akikuzidi ELIMU PESA au UMAARUFU ni kazi sana kuishi katika misingi ya ndoa.

Kiufupi hawa viumbe ndio watu pekee ambao wameendana na mfumo hasi wa mabadiliko ya teknolojia katika dunia ya kileo.
 
Back
Top Bottom