johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukiangalia kwa jicho la tatu kuna uwezekano mkubwa hao niliowataja hapo juu wasirudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao kutokana na majeraha makubwa ya kisiasa waliyonayo.
Wote kwa nyakati tofauti wamedai madhila yaliyowakuta yametokana na siasa chafu wanazotendewa ndani ya CCM.
Ndio Johnthebaptist nasema kama hawa almaaruf wanne wametendewa hivi huko CCM basi ni hakika huyo Producer aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu kweli kweli.
Maendeleo hayana vyama!