Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Ivi wakina nani wanataka kumua Kihagwalla? Hafu uyu si anaitwa Dr. Hamis Kihagwalla na inaonekana amesoma sana.
Kwa nini watanzania wengi tunaachana na taaluma zetu na kukimbilia kwenye siasa.
Nchi yetu inahitaji wataalamu na wasomi wasaidie katika maendeleo.
Siasa zina madudu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app