johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee unaweza kuthibitisha?!Kigwangala ni mwizi mwenye kiburi. Mjinga sana
Aliwahi kuifanya lini hiyo kazi?!Kigwa arudie kazi yake ya kusikiliza virusi na mapafu kwa stethoscope
Kwani yeye alikomba mboga!Huo ndio mshahara wa kujimwambafai. Kingwa amepewa wizara nyeti sana,ilipaswa ajifunze kwa waliopita,hiyo wizara na ya madini haijawahi kumuacha mtu salama. Ilipaswa awe mtu makini sana,hata kama unakula,jifute mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bungeni atakuja Happi!Ana mabasi kigwangala express, ana ng’ombe kama 700, ana chuo cha afya nzega, hatokufa njaa huyo atulie tu lakini kurudi bungeni sijui maana nchi hii ukipishana na bashite lazima ile kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani Kigwa siyo PhD?Kigwa arudie kazi yake ya kusikiliza vifua na mapafu kwa stethoscope
Chadema ulaji wa ruzuku ndio makao makuu!CCM majungu na rushwa ni makao makuu
Hapana ni mganga wa hospitali!Kwani Kigwa siyo PhD?
Baada ya kuuvulia shati ikawaje manka?!Mmh huo u MD wenyewe aliuvulia shati
Bungeni atakuja Happi!