Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Bashe atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kabla ya bunge la February 2020!Hapi, Gambo, Makonda, shilole, Harmonize, hawa wanaingia mjengoni na Bashe atakua waziri kamili wa kilimo huku tulia akiwa spika kamili wa Bunge na Ndugai atakua mwenyekiti wa bodi au mkuu wa chuo mark my words
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bwashee hata kusoma sana ni siasa pia!Ivi wakina nani wanataka kumua Kihagwalla? Hafu uyu si anaitwa Dr. Hamis Kihagwalla na inaonekana amesoma sana.
Kwa nini watanzania wengi tunaachana na taaluma zetu na kukimbilia kwenye siasa.
Nchi yetu inahitaji wataalamu na wasomi wasaidie katika maendeleo.
Siasa zina madudu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wafanya biashara wana mali za mabilioni Kigwa ni cha mtoto lkn wanalilia kuingia bungeni,jiulize huko Bungeni hua kuna nini?Ana mabasi kigwangala express, ana ng’ombe kama 700, ana chuo cha afya nzega, hatokufa njaa huyo atulie tu lakini kurudi bungeni sijui maana nchi hii ukipishana na bashite lazima ile kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe basi ni kipanga. Maana hiyo MD si ya kitoto, nilikuwa nawaona maPCB walivyokuwa wanakesha na mabuku yao makubwamakubwaMmh huo u MD wenyewe aliuvulia shati
Sijui tembo zetu zitapona,daah maana nimemkumbuka Kinana na meli yake hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Bashe atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kabla ya bunge la February 2020!
Ukiangalia kwa jicho la tatu kuna uwezekano mkubwa hao niliowataja hapo juu wasirudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao kutokana na majeraha makubwa ya kisiasa waliyonayo.
Wote kwa nyakati tofauti wamedai madhila yaliyowakuta yametokana na siasa chafu wanazotendewa ndani ya CCM.
Ndio Johnthebaptist nasema kama hawa almaaruf wanne wametendewa hivi huko CCM basi ni hakika huyo Producer aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu kweli kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mada uliyofungua inahusiana na haya au ni ulevi tuu umekujaa?Chadema ulaji wa ruzuku ndio makao makuu!
Unajua wasomi wa Tz wengi ambao ni wana siasa wako radhi kuidampo elimu yao na kusapoti ujinga.Bwashee hata kusoma sana ni siasa pia!
Kwamba kuna katibu mstafu aliwahi kuwa mwindaji haramu au.Sijui tembo zetu zitapona,daah maana nimemkumbuka Kinana na meli yake hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
dodge
Umenikumbusha Abood na Shabiby!Kuna wafanya biashara wana mali za mabilioni Kigwa ni cha mtoto lkn wanalilia kuingia bungeni,jiulize huko Bungeni hua kuna nini?
dodge
Huyu Bashite kweli ana nguvu kubwa, awali nilijua nguvu yake ni kubwa kuliko Majaliwa serikalini kumbe hata kwenye chama Bashiru naye anamgwaya?Hamis amekalia kuti kavu. Bashite kama anaweza angusha miamba kama Nape. Huyu Kingwa anakalia kusema tu anamfahamu mbaya wake. Si aseme tu Bashite. Ila kashikwa pabaya.
Alijifanya kutumia pesa kuwalipa kina Ebitoke eti wanatangaza utalii. Hivi ni Mtanzania yupi asiyejua kuna mlima Kilimanjaro?
Hahahaaaa...... Alikuwa hataki Chenge awe mwenyekiti wa kamati ya bajeti!Kigwangala anakurupuka sana kama mwanamke mjamzito. Juzi kaanza kuongelea maswala ya Dewji na simba, kama hana akili vile. Sasa waziri unaanza kuongelea mambo ya watu binafsi ambayo hayahusu wizara yako kwanini? Mara ajibizane na kina babu tale, debe tupu huyo jamaa. Mi nilimuona hamna kitu awamu ile ya Spika Makinda, akaanza kumnanga mama watu mitandaoni kama punguani. Akikosa ubunge yule ndo kwisha habari yake, mikopo itamuua. Kijana mdogo ameng'ang'ania mambo ya kizee. Ukiwa na mdomo sio lazima uongee. Hamna anaemtuhumu Kigwangala mdomoni, yanini yeye aanze kujibizana na watu na kutafuta ugomvi usio na maana?
Bwashee unamjua Dr Msukuma?Unajua wasomi wa Tz wengi ambao ni wana siasa wako radhi kuidampo elimu yao na kusapoti ujinga.
Msomi hana sauti kwa politician.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanja,ushawishi,sarakasi za maneno at any coast ili kupaint image yake,akikosea anaomba msamaha. Sasa maadui zake anajua jinsi ya kulala nao mbele,kudeal nao perpendiculaire. Issue ya Idris Hamis alijifanya kimbelembele.Huyu Bashite kweli ana nguvu kubwa, awali nilijua nguvu yake ni kubwa kuliko Majaliwa serikalini kumbe hata kwenye chama Bashiru naye anamgwaya?
Hicho anacho kitumia Bashite Ku win hakika ni cha kipekee