Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

Huyu Idris ana issue gani?!
 
Tatizo kigwangala akili hana. Yaani hapo tu ndo napopata shida hata ya kumtetea. Mtu kama kigwangala hata ukimkuta anapigwa na shetani unamwacha tu unajiendea unasema "hao wanajuana wenyewe"
Duh.......Bwashee acha ukauzu!
 
Huyu Bashite kweli ana nguvu kubwa, awali nilijua nguvu yake ni kubwa kuliko Majaliwa serikalini kumbe hata kwenye chama Bashiru naye anamgwaya?
Hicho anacho kitumia Bashite Ku win hakika ni cha kipekee
Kwani anatumia nini mzee?. Kuna mtu naona amewahipost nahisi ni hapa JF. Kwamba alimtafuta mtaalamu wa kuremove majini white house yaliyoachwa na mtangulizi . Tokea hapo muheshimiwa anamkubali kinoma. ?

Ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chama chetu CCM sasa hivi kimejaa uhuni na wahuni tu!
 
Aiseee kuna haja ya kumpa umuhimu na kumwangalia kwa jicho la kipekee huyu Bashite.

Naona hajawahi kushindwa vita vya watesi wake wa kisiasa.
 
!
!
hao hata wakifa sishtuki ndio kwaaanza naagiza kvant ya kati na balimi tatu baridi


di
 
ndio ujiulize doctor anawezaje kufanya upuuzi huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…