Kama naziona vile Sura za waliotaka Waziri wa Fedha Dk. Nchemba atumbuliwe kwa 'Kariakoo Saga' na hajatumbuliwa zilivyo sasa

Kama naziona vile Sura za waliotaka Waziri wa Fedha Dk. Nchemba atumbuliwe kwa 'Kariakoo Saga' na hajatumbuliwa zilivyo sasa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za Hazina ziwe zinasaidia Timu pendwa Moyoni ya Dk. Nchemba na inayopendwa pia na huyo huyo Mstaafu mwenye Ushawishi katika Serikali ya Awamu hii ya Sita.

Tutanuna sana na Mtanuna mno tu.
 
Back
Top Bottom