Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ukikumbatia sana wanyonge nchi itakuwa maskini kama enzi za magufuli maana hao wanyonge watataka kila kitu kiwe bure hata vile vyenye gharama katika uendeshaji wao watataka iwe bure matokeo yake anakopa kimya kimya na kunyang'anya fedha kwa matajiri kwa mtutu wa bunduki ili kuficha aibuSio tu Mwanamama, Bali mwanamama mswahili ambaye kadiri kupambana na wanyonge, huku Akikumbatia wachache.
Huyu Mwanamke, Hafai.
Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake...
Ni wakati wa Ndugai kuwapa Watanzania kitu wanatakaRais alistahili kumjibu Ndugai kwa staha bila ya kujali kama kauli yake ilikuwa sahihi au hapana.
Kumjibu Spika wa Bunge (japo ni Bunge bandia kwa sababu wabunge wake, wengi wao ni bandia), ni dhihirisho tosha kuwa kuna shida kubwa kwenye mfumo wetu wa utawala.
Rais kambbikia kesi Mbowe na kumweka ndani eti kwa sababu hamheshimu. Mentality hiyo hiyo inaonekana huyu Mama anayo dhidi ya kila mtu. Wanaoshamgilia Mbowe kubbikiwa kesi, wajue kuwa hata wao hawapo salama.
Huu ni wakati wa Ndugai kiyafuta makosa yake yote ya siku za nyuma, na hilo atalifanya kwa kusimama na wananchi. Anatakiwa ahakikishe kila kinachoingia Bungeni kinajadiliwa kwa maslahi ya nchi, na siyo kwa maslahi ya Serikali au chama. Bunge limepewa na katiba yetu (hii hii mbovu), uwezo hata wa kumwondoa Rais, japo utaratibu wake ni mrefu ja aghali. Hatumshauri amwondoe Rais Samia, bado naamini Samia ni Rais mzuri lakini kuna mengi anatakiwa kujirekebisha, ila tunachomshauri Ndugai, hastahili kuwanyonge, anayebabaika bila sababu za msingi.
Ndugai anastahili kuwa thabiti alimradi kama uthabiti unaegemea kwenye sheria, katiba ya nchi na maslahi ya umma.
Kikubwa kwa sasa, Taifa linahitaji katiba mpya ili kusiwepo na wa kumtisha mwingine, hata wakati hajafanya kosa.
Sasa Ndezi tena asife kindezi?Ndugai usikubali kufa kindezi
Unajua nchi hii kila mtu analinda maslahi yake. Lakini pia tangu enzi za Yesu watu wanaotetea ukweli hawapendwi. Ndugai si malaika lakini katika hili (japo kaogopa na kaomba msamaha na bado anatukanwa) yuko sahihi.
Well spoken [emoji106][emoji120]Ukikumbatia sana wanyonge nchi itakuwa maskini kama enzi za magufuli maana hao wanyonge watataka kila kitu kiwe bure hata vile vyenye gharama katika uendeshaji wao watataka iwe bure matokeo yake anakopa kimya kimya na kunyang'anya fedha kwa matajiri kwa mtutu wa bunduki ili kuficha aibu
Ili mambo yaende mambo yote yanatakiwa yawe balanced