Kama ndio inakutokea, utachukua hatua gani?

Unamgeuzia upande wa pili amalizie kupiga makofi....
.alafu unamwambia ubarikiwe
 
Huyu bujibuji amekopi na ku paste uzi wangu! Jamani mi naenda mahakamani kumshtaki kwa sababu haki zote zimehifadhiwa.
 
Aisee hapo tunaita refa tu ni ngumi mwanzo mwishoo
 
Akiwa kipande cha mtu na mimi namsamehe, ila akiwa dhaifu kama wewe na mimi namfananisha!!
 
nitamuambia pole sana,kuwa makini,mimi nimekusamehe,ila siku nyingine utakuja kuua bila kukusudia.
 
Kabla hajamaliza kuomba msamaha natoka nduki kali sana, asije akajisahau halafu akanifananisha tena.....
 
ukitembea kifala ---- hayo lazima yakukute, kofi mpaka litue usoni wewe ulikuwa umelala ukitembea? kisha ngumi juu? naupigwe tu!! tena kwa kufananishwa, na mimi ukimalzwa kufananishwa nakuja kukufananisha tena.
Halafu mimi nakuja kumpeleka dispensary.......maana lazima atakuwa sio salama baada ya kufananishwa na kumfananisha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…