Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asnte kwa kuniita darling. Kama mimi hapo hakuna msamaha wa bure ni kumpa za uso mwisho samahani nyingi
Dady acha ugomvi bwana
Asipo fumba je?namuambia fumba macho na mimi "nikufananishe"!nampa ngumi za uso za ukweli mfululizo
Aha ha ha ha ha..nimecheka sana mpaka sina la kuchangia.
Asipo fumba je?
Amekopi uzi wangu huyo.
Halafu mimi nakuja kumpeleka dispensary.......maana lazima atakuwa sio salama baada ya kufananishwa na kumfananisha ha ha haukitembea kifala ---- hayo lazima yakukute, kofi mpaka litue usoni wewe ulikuwa umelala ukitembea? kisha ngumi juu? naupigwe tu!! tena kwa kufananishwa, na mimi ukimalzwa kufananishwa nakuja kukufananisha tena.
Hahhahhhhhaa , Nawe mbaba pia ulifananishwa?Amekopi uzi wangu huyo.