Kama NEC iliyokaa kikao cha dharura imejadili suala la Bandari na DP World, nini kimefanya iwe dharura? Bandari ipo salama?

Namkumbuka Ndugai pamoja na wehu wake wote nakumbuka kuna siku aliwahi kusema ipo siku tutapigwa mnada.
 
Maku ya maza wako kwa huu utumbo ulioandika
Huyo usimchukulie serious, ni kamanda mpambania HAKI mwenye nyota zake kabisa,

Anavaa uhusika tu, akiongea katika angle nyingine. Amebadili ID, aliitwa "Bei elekezi" before .
 
CCM ni janga la taifa hapa Tanzania, sijawahi kuwaamini hata siku moja.....kidogo nilikuwa na imani nao chini ya Magufuli ila huko tuendako ajuaye ni Muumba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…