TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Nchi sio nyumbani kwako kenge we nahama ili iwejeHama nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi sio nyumbani kwako kenge we nahama ili iwejeHama nchi
Soma tena nimeandika watanzania ukiwemo na wewe acha uzuzu😏Wewe na Nani?
Sheikh
Huyo usimchukulie serious, ni kamanda mpambania HAKI mwenye nyota zake kabisa,Maku ya maza wako kwa huu utumbo ulioandika
Basi vumilia DP-WORLD leo wanasaini mkataba wa bandari kama kuna mlichobakiza wahini kuhamisha.Nchi sio nyumbani kwako kenge we nahama ili iweje
CCM ni janga la taifa hapa Tanzania, sijawahi kuwaamini hata siku moja.....kidogo nilikuwa na imani nao chini ya Magufuli ila huko tuendako ajuaye ni Muumba tu.Kuna taarifa kwenye magazeti kwamba katika kikao cha dharura cha NEC hoja kuu ni mkataba wa bandari. Lakini nijuavyo mimi hii siyo dharura wala hoja yakujadili kwa masaa kadhaa ikafungwa au kutolewa maamuzi bali ni hoja inayohitaji muda wa kutosha.
Nini kimepelekea iwekwe kwenye kikao cha dharura? Je katika kikao hicho aliyeipeleka kwa Dhararu amelenga mema au mabaya? Kwa udharura huu tunaamini bandari itakuwa salama chini ya TPA au imekabidhiwa DP world na NEC?
Uongo mtu kwanini mmeshindwa kusema mkaBasi vumilia DP-WORLD leo wanasaini mkataba wa bandari kama kuna mlichobakiza wahini kuhamisha.
Mmepita mulemule kwenye tamko la TEC dadekiiiiBasi vumilia DP-WORLD leo wanasaini mkataba wa bandari kama kuna mlichobakiza wahini kuhamisha.
Miaka 30 bandari za Dar tu 😁 asante tamko la TEC limefanya kaziBasi vumilia DP-WORLD leo wanasaini mkataba wa bandari kama kuna mlichobakiza wahini kuhamisha.
Safi serikali sikivu kwa watu wake tuchape kazi sasa. Mama anaupiga mwingi samia oyeee.Miaka 30 bandari za Dar tu 😁 asante tamko la TEC limefanya kazi