Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hahahaa! Sipati picha aisee.SIyo ikulu pekee asinge leta pua lake hapa Tanzania.
Hata asingefikiria kufanya hivyoWhat the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Jamaa si ajabu linatucheka Watanzania.JPM angekuwa yupo, watu wa aina ya huyu bonge wangekuwa wanatupigia saluti wakiwa nchini mwao
Walikuwa wanacheza sindimba ikulu?Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo ***** wa Zimbabwe.
Ikulu sasa imekuwa pango la wanyang'anyi.What the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Big Dog ametushusha vyeo kabsa 😔 Aisee inatia hasira sanaIkulu sasa imekuwa pango la wanyang'anyi.
Huyo si ndio yuleyule ambaye zilienea clips akiwa anagawa dollars Airport hapo Dar kwa air hostesses na staffs?What the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Nahitaji kuona walau ushahidi….Musiba alipageuza ikulu kuwa Kona bar.
Nani? Tipwatipwa?Huyo si ndio yuleyule ambaye zilienea clips akiwa anagawa dollars Airport hapo Dar kwa air hostesses na staffs?
Shameful!Mimi na watanzania wengine ndio tunaona na kutazama pamoja kupaheshimu kama Ikulu mahala patakatifu ila Big Dog anapatazama kama Getto lake tu 😃 kama hadi kubadilisha nguo! Duuh Big ametisha sana
Hiyo ni frugality ya baba yao.Nahitaji kuona walau ushahidi….
Vipi Jesca, yeye na na kakake walikuwa wanasukuma ndinga gani?