😀😀😀😀Sana yaani sana 😀😀😂😂😂 Hajui uchungu wa mama, hajui anatuumiza kiasi gani
Kampeni zao hivi sasa huwezi kuwasikia wakiongea neno ufisadi...What the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Ndani ya miaka 4 tu
- Abdul anatembea nyumba za wasanii kuhonga
- Abdul anatembekea magari ya kifahari
- Abduk amegeuka kuwa Mwekezaji wa kimataifa, wa masuala ya umeme
View: https://x.com/KagutaMuseveni/status/1690015445296762883?t=QBfYZEomNfu5f6w9MLfcNA&s=19
Dhamiri zao zinawasuta.Kampeni zao hivi sasa huwezi kuwasikia wakiongea neno ufisadi...
Ndani ya miaka 4 tu
- Abdul anatembea nyumba za wasanii kuhonga
- Abdul anatembekea magari ya kifahari
- Abduk amegeuka kuwa Mwekezaji wa kimataifa, wa masuala ya umeme
View: https://x.com/KagutaMuseveni/status/1690015445296762883?t=QBfYZEomNfu5f6w9MLfcNA&s=19
Tupunguze nongwa papi anae helaaa😂😂😂😀😀😀😀Sana yaani sana 😀😀
Ngosha alikuwa anapigaje sasa hayo mahela?Kwamba kwakua binti yake hakuonekana anaendesha mandinga ya bei juu ndio kusema kwamba the late alikuwa sio mpigaji?
Sentensi zao kuhusu ufisadi unadhani zinaanzaje?! Ni AIBUKampeni zao hivi sasa huwezi kuwasikia wakiongea neno ufisadi...
Mwana niliwahi kumshuhudia Bole Addis Ababa International Airport anagawa madola kwa wafanyakazi wa eneo lileTupunguze nongwa papi anae helaaa😂😂😂
Hili shavu hili,huyu mwamba kaondoka na Siri nyingi sana aisee
Sasa kama baba alikuwa frugal, alikuwa anapiga ili iweje sasa?Hiyo ni frugality ya baba yao.
Hahahaha, JIBU kamili sidhani km utapataNgosha alikuwa anapigaje sasa hayo mahela?
Ana mahoteli? Ana majumba? Ana ndege? Ana meli?
Upigaji wa Ngosha ulikuwa kwenye nini? Migodi ya almasi?
Mkuu yaani hapa ni tip of the iceberg kama jamaa limebadilisha nguo Ikulu je yapi mengine amefanya?Aibu!
Jamaa lilimbambia kabisa yaani….
Na vile alivyo na chakula cha mtoto kikubwa [nyonyo], jamaa lilikuwa linaguswa guswa tu hahahaa.
Trillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.Sasa kama baba alikuwa frugal, alikuwa anapiga ili iweje sasa?
Wadau naombeni kumbukumbu ya kipindi mama akiwa msaidizi wa mwendazake ivi alishawai kuwa na ziara ya kumuwakilisha mwendazake uko kwao?What the helly JF massive?