Ndio huyoHuyo si ndio yuleyule ambaye zilienea clips akiwa anagawa dollars Airport hapo Dar kwa air hostesses na staffs?
Ndio huyoHuyo si ndio yuleyule ambaye zilienea clips akiwa anagawa dollars Airport hapo Dar kwa air hostesses na staffs?
Shida sio huyu bonge, shida ipo kwenye kiti cha maamuzi (rais)Jamaa si ajabu linatucheka Watanzania.
Halafu nimeona limepewa tenda ya kuchapisha vikaratasi vya kura.
Sijui kuna ukweli kiasi gani hapo…
Afadhali yule lakini...hapa huwa nawaza angemalizia second term tungekuwepo wapi kiuchumi?...huyu yuko incompetent nahisi decisions zote zilikuwa zinafanywa na abdul....projekti zote ni zile alizoacha mwendazake , hivyo vituo vya afya, mashule na kuinvest kwenye kilimo ni hela zetu WATANGANYIKA kutudanganyia tusione ufisadi wake!! WATANZANIA KABLA HAMJAPIGA KURA MSIANGALIE SIJUI UMEME MPK VIJIJINI SIJUI VITUO VYA AFYA UPUUZI GANI, MUANGALIE HUYU MAMA KATUNYANG'ANYA VINGAPI NA AKIPEWA TERM NYINGINE NINI KITABAKI TUTAKACHOJIVUNIA NI URITHI LEFT?! ANYWAY TANZANIA INATIA HASIRA SANA, NI MAHALI PEKEE WATU WAKO TAYARI KUSPEND MILLIONS KWENYE UCHAGUZI WAKATI KIONGOZI/RAIS TAYARI ANAJULIKANA......X£#÷×**&^%!!Trillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.
Tangu 2015 Tanzania hatujapata rais.
Magufuli alishtumiwa kwa ukweli wake dhidi ya wanasiasa uchwara, mafisadi na watumishi wa umma waliotumia madaraka yao kwa manufaa binafsiMkuu mimi sinaga UNAFIQ, Tumempoteza Magufuli hakika tumempoteza RAIS ambaye kwa mwenye akili timamu alikuwa atuvushe pakubwa sana. Si bure leo hii kama angekuwepo tungeweza kulingana na KENYA kiuchumi
Huyu Dogo Kibonge angewezaje kujiachia na kukenua mbele ya Magufuli? Kwanza angekuja kwa lengo lipi hasa atoboe kirahisi mpaka kufika ofisi ya Rais Ikulu? Sisi hata hatujui kilichomleta ni nini mpaka sasa
Again, Hakuna Ushahidi wowote wa Ufisadi wa Magufuli ...la sivyo miliki zake zingeshawekwa hadharani kwa jinsi alivyokuwa na maadui...So if he was not 100% Innocent, he was 80%
So, ina nutshell Huyu Dogo asingeweza kufanya hivyo kwa Magu.
Ile Trilioni 1.5 ukifuatilia ni accounting blunder.Sijui zilipoenda.
Ninachojua ni mtoto wa Rais aliyeko madarakani sasa hivi ghafla kawa tajiri mkubwa.
Hebu connects hizi dots..Abdul amegeuka kuwa Mwekezaji wa kimataifa, wa masuala ya umeme
Uchungu sana tunakukumbuka jpm
Mpambanaji kwa kutapeli?Huyu jamaa [nadhani anakoneksheni na Abdul, pamoja na mtoto wa Ruto aliyeolewa na wapopo] labda alitumia huu mwanya kuangalia kama atapata vitenda hapa nyumbani.
Hajaishia kuingia ikulu ya Tanzania tu kafika hadi Kenya..... kipindi cha nyuma alishavutana na serikali ya Zimbabwe baada ya kushindwa kumaliza tender alizopewa....alishahusishwa na kutapeli watu...na kwenda jela...
Achana na hivi karibuni kuonekana kugawa pesa airport [kwao Zimbabwe anagawa magari na pesa kwa wasani] Zimbabwe kuna msanii anaitwa Jah Prayza anamtumia saana kwasababu ndiye mwenye ushawishi.
Anyway, ni kijana mpambanaji acha ajilie anavyojitafutia....
Khaaaaa inaumizaaaaWhat the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
“I’m surprised you would even ask me that. Because I’m all over the papers signing big deals. When you see me on ZBC signing a $123 million deal, I mean, that’s not a joke. What it means is that Zimbabwe Power Company is going to pay me $123 million, that’s what it means, literally.”[3]
😂😂😂Ila Odemba angetia mguu 😆😆😆👆🏿