Msiba hakua Ikulu nina uhakika 100 %Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo ***** wa Zimbabwe.
Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais
Wewe mpuuzi sana, na uwezo wako wa kufikiri hauutendei haki. Kusema tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais, una maana urais wa Kikwete unaweza kuulinganisha na urais wa Magufuli?Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo ***** wa Zimbabwe.
Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais
Kwa sasa wanamtandao walivyokabwa kooni na Polepole unafikiri Magu angekua na Uchafu wangekua wameshauweka nje kitambo yule Mzee huwezi kumchafua kwa blaa blaa za kipumbavuNgosha alikuwa anapigaje sasa hayo mahela?
Ana mahoteli? Ana majumba? Ana ndege? Ana meli?
Upigaji wa Ngosha ulikuwa kwenye nini? Migodi ya almasi?
Assad Sasa hivi umemskia huyo nae wanamtandao walimtumia kama waliweza kumtumia Lissu bila kujua Magufuli tukubali tukae alikua ni Rasi ambae aliekua anajua nachokifanya Magufuli angekua na Uchafu na kwasaa polepole alivyowakaba kooni Uchafu wa Magu ungekua waziTrillion 1.5 alizipeleka wapi? CAG wa wakati huo alimuuliza kwa niaba ya watanzania akatimuliwa kazi.
Tangu 2015 Tanzania hatujapata rais.
Wapigaji hawakuwahi kuishi kwa furaha kipindi cha Ngosha, wapigaji wanaishi kwa tambo sasa!!Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo ***** wa Zimbabwe.
Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais
Money talksHuyo tipwatipwa ndo nickname yake hiyo?
Ila Samia hovyo sana. Hilo lijamaa linapataje access ya namna hiyo….
Trash.
Mkuu sijakusikiq siku nyingi mno, salama mkuu wangu?Money talks
But all money ain’t good money…Money talks
Yaani nashindwa kuelewa.Kwanza jamaa alikua kakaa kizarau sana na maza.
Pili huko kwao anatuhumiwa kwa ufisadi mkubwa sana
Rahis naye ni binadamu ana hisia....Huyo tipwatipwa ndo nickname yake hiyo?
Ila Samia hovyo sana. Hilo lijamaa linapataje access ya namna hiyo….
Trash.
Binafsi siamini kabisa kama Magu alikuwa fisadi.Kwa sasa wanamtandao walivyokabwa kooni na Polepole unafikiri Magu angekua na Uchafu wangekua wameshauweka nje kitambo yule Mzee huwezi kumchafua kwa blaa blaa za kipumbavu
Sema Bonge atakuwa ana siri kubwa sana na hawa viongozi wetu wa africa ya mashariki pengine bonge na middle man au owner some deals zinazoendelea hapa kwa gavooWhat the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Tukumbuke huyu chivayo ana skendo ya madili machafu ya vifaa vya uchaguzi, cha kujiuliza pale ikulu yetu alikuwa na biashara ganiWhat the helly JF massive?

Kwamba kwakua binti yake hakuonekana anaendesha mandinga ya bei juu ndio kusema kwamba the late alikuwa sio mpigaji?
kweli wewe ukilewa wakuache make unatoa point safi ukiwa umelewaSwali lako ni kama mtu aulize hivi;, Ingekua baba yetu yupo hai, huyu michepuko angekuja kulala nyumbani kwetu huku sisi tukifungiwa nje na matusi?
JPM angekuwa yupo, watu wa aina ya huyu bonge wangekuwa wanatupigia saluti wakiwa nchini mwao