Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Ilibaki kidogo bro big atupe connection 😹
 
Unamzungumzia anko wa dully?
 
Aguse wapi?!
Juzi imagine anamwambia Billchenga atampigia live kabisa.
 
Lakini ni ukweli huyu bi mdashi akiingia mpaka 2030 TANGANYIKA itabaki haina kitu....I bet itakuwa ndio kusanya kusanya ya retirement, vyote vitapelekwa Zanzibar! Mtajiju kuweka mwanamipasho ikulu...
Hii sheria ya kuto mshitaki kiongozi baada ya muhula wake kuisha ndio inafanya watu waibe mchana kweupe bila aibu.
 
A fair and balanced comment. Ila mtoa mada pia amekiri kuwa JPM alikua na yake mengi "meusi".
 
Tuhuma za mali za watoto wa maraisi na fitna ktk siasa za Tz kwa kiasi kikubwa na si jambo geni. Ridhiwani alituhumiwa sana wakati JK ni rais..karibu sheli zote, hotel za kifahari na maroli yalikuwa ya Rizone! Hizo mali zimehama leo toka kwake?
Wicknel, mna mtuhumu kwa wizi wa chaguzi! Sasa JPM angemtaka wa nini wakati wote mnajua style yake ya uchaguzi aliyofaya 2020!
Kama huoni tangible evidence ktk tuhuma za ufisadi wa JPM, je unaona ushahidi wowotw tangible ktk tuhuma za Samia au utawala wa sasa?
 
Humu imeguswa siasa ya nchi za kiafrika, kutana na ufisadi, ulaji rushwa, usaliti, ukosefu wa ajira, siasa chafu za vyama, hali ngumu ya maisha na mfumuko wa bei.

Hichi kitabu cha kimtandao ni kioo tosha cha maisha na siasa za kiafrika.

Fuata link:
 
Absolutely 💯 %.

Samia ni mchafu.
 
Why Ridhiwani? Why Abdul? Hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli walikuwa na watoto!
 
Sura tu ya Magufuli huwa inaongea kila kitu huyo mzimbabwe asingeleta uchuro wake
 
Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo ***** wa Zimbabwe.

Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais
Wewe unajulikana kuwa unachuki binafsi sijui Magufuli alikufanya Nini si kwa chuki ulionayo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…