Kama ni adhabu ya kutoa mzigo pale airport ni hii, poleni wafanyabiashara

Tanzania kuna usumbufu sana yaani wanaonekana wapo kukwamisha watu wasipate bidhaa kutoka nje ya Nchi wakati wapo kwenye mlango wa Dunia mbaya sana kwa kweli...
Mpango mkakati huo wa chama tawala tuwe maskini ili watutawale, ndio kila kona figisu na wakiona sehemu kuna gape watu wameanza kulitumia kupata hela lazima watunge sheria kulidhibiti au wataleta figisu ya aina yoyote ili msifanikiwe na hii huwa wanaitumia sana kwenye mazao

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Me nawashukuru jamaa zangu ambao wapo nje ya nchi ambao huwa wanakuja kwa mwaka mara moja naponeaga hapo wanashuka na zana zangu za kutosha..
 
Hivi kwanini hao healthcare na tfda wasiwe maafisa walioajiriwa ndani ya tbs ili kuokoa muda?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
TFDA (Tanzania foods and drugs authority) imeshapunguziwa kazi kuna baadhi zimeechukuliwa na TBS ndio Maana now ni TMDA(tanzania medical and drugs authority) wao wameachwa na kudeal na madawa tu. Health hawawezi kuwekwa na TBS kwasababu wao wanahusika kwenye kuangalia maradhi tu ubora anaangalia TBS, lkn pia wapo kwa nadra sana na wanaonekana sana kipindi hichi cha korona.

Ila wooote hao wamewekwa kwenye system mpya ya single window(TESWS) mfumo huo utakuonesha mcheleweshaji ni nani Maana document inavyohama kutoka sehem moja kwenda kwengine unaona na unajua wapi imechelewa kufanyiwa kazi. Hivyo kila mtu/taasisi inayohusika inajua mtu/taasisi fulani imechelewesha mzigo kutoka.
 
Mkuu kwa nini mtu wa TBS pale Cargo yuko mmoja na ma agent wamelalamikia sana hiyo ishu huyo mmoja ana kagua mizigo anaingiza data ni huyohuyo mmoja, ni kweli Vijana wote wa IT hawa mtaani mnashindwa kuajili wa kuingiza data mkaokoa mda wa wateja
 
TBS data anazoingiza ni remax ya mzigo yenye debit ambayo imechukuliwa sample.. Lkn mizigo mengine yote haingiizi data zozote zinazozidi muda wa dakika2. Kinachofanyika anakagua then anarelease kwenye system na kugonga muhuri wa release. Ni kweli sometimes wanazidiwa kunakuwa na mizigo mingi yakukaguliwa.
Lkn Kama umefika ofisi za TBS pale airport swessport cargo utaona maofisa wapo wengi si chini ya7 wanatoa huduma. Hivyo kuniambia airport yupo ofisa mmoja wa TBS sio kweli labda Kama agent wako amekudanganya.
 
Kwa lile genge la Walanguzi pale Airport cargo nilijiapiza kuwa nitakuwa natumia tu DHL kuniletea parcels zangu japokuwa wana gharama kubwa.. Nimewahi kupokea mzigo pungufu pale Airport pamoja na kucheleweshwa kuzidi maelezo..
Sasa hata hao DHL kama mzigo ni wa gharama lazima process iwe ndefu
 
Mpango mkakati huo wa chama tawala tuwe maskini ili watutawale, ndio kila kona figisu na wakiona sehemu kuna gape watu wameanza kulitumia kupata hela lazima watunge sheria kulidhibiti au wataleta figisu ya aina yoyote ili msifanikiwe na hii huwa wanaitumia sana kwenye mazao

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Utacheka mfano mdogo tuu Tv hizi za kisasa nchi nyingi bei zimeshuka balaa ila bongo sasa utadhani gari hawachelewi kusema ulipe kodi zaidi ya bei uliyonunua kwa sababu tu wameitenga kundi la starehe..
 
Kutumia Agent ipo kimataifa sio tu Tanzania, hili ni sawa coz kuna taratibu za kiforodha lazima zifuatwe.
Mzigo kukaguliwa na taasisi zaidi ya moja inataegemea na HS CODE ya mzigo/items. Ila TRA na TBS lazima wakague. Hao TFDA, HEALTH CARE, TBS nk wapo hapo coz HS CODE ya mzigo zimewahitaji kwenye system.

TBS wamekuchaji 180,000 kwa sababu ni DI(destination inspection) ambayo lazima wachukue sample wakapime then wakupe permit. Ila ingekuwa COC usingechajiwa hivyo au ingekuwa ni physical tu ungechajiwa 30000. Kwa person effects lazima kuna items zilihitaji sample..

Yes, storage lazima ulipe kwasababu mtunza mzigo hausiki na hizo taratibu zenu agent wako anapaswa kukimbiziana na muda kuokoa hiyo storage charges. kwa airport una cku4 free zakutoa mzigo wako bila storage,. Kwa seaport ni siku7(inahesabiwa container inaposhuka kwenye meli).
Hivyo agent wako lazima aassess mapema coz system zenyewe(TANCIS/TeSWs) zinazinguaga sometimes.
Well said n explained Chief
 
  • Thanks
Reactions: B51
Umejibu ki TAFFA zaidi, ma HS code, ma physical verificiation, DI, safi tunawaacha watu kwenye flyover ubungo. Nikusaidie kdogo Kwenye hiyo 180,000 ya TBS huwa ni mzigo wa ambao HS CODE yake IPO REGULATED na TBS ambapo hufanyika physical verification tu hakuna kuchukua sampo, ikichukuliwa sampo itazidi hiyo kulingana na test fee ya sampo hiyo / hizo na 30,000 huwa ni mizigo ya PVoC exempted ambayo mteja huchajiwa service fee tu au mizigo ya Non Regulated lakn mteja anakua am lodge kwa matakwa ya ulazima kwa TeSWS ila kwa TANCIS sio lazma alodge
Bravooo, TAFFA kama TAFFA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwa nini mtu wa TBS pale Cargo yuko mmoja na ma agent wamelalamikia sana hiyo ishu huyo mmoja ana kagua mizigo anaingiza data ni huyohuyo mmoja, ni kweli Vijana wote wa IT hawa mtaani mnashindwa kuajili wa kuingiza data mkaokoa mda wa wateja
Yule ni mhandisi(mkagua ubora) sio IT officer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kuingiza data zilizopikwa si anaweza kufanya mtu mwenye ujuzi mdogo tu wa kidadavuzi mkuu
 
Utacheka mfano mdogo tuu Tv hizi za kisasa nchi nyingi bei zimeshuka balaa ila bongo sasa utadhani gari hawachelewi kusema ulipe kodi zaidi ya bei uliyonunua kwa sababu tu wameitenga kundi la starehe..
Bongo nuksi chief, sema ndio nchi yetu.
 
TBS data anazoingiza ni remax ya mzigo yenye debit ambayo imechukuliwa sample.. Lkn mizigo mengine yote haingiizi data zozote zinazozidi muda wa dakika2. Kinachofanyika anakagua then anarelease kwenye system na kugonga muhuri wa release. Ni kweli sometimes wanazidiwa kunakuwa na mizigo mingi yakukaguliwa.
Lkn Kama umefika ofisi za TBS pale airport swessport cargo utaona maofisa wapo wengi si chini ya7 wanatoa huduma. Hivyo kuniambia airport yupo ofisa mmoja wa TBS sio kweli labda Kama agent wako amekudanganya.
Natamani nikitukane sana maana unaongea kama mazuri wakati tunaumia sana sema nn K**a la mm yako
 
Mnafanya mpaka simu ambazo zilipaswa ziuzwe 100k kwa pc moja inauzwa 170k ili kufidia gharama
 
Hao wa ngese airport sitawasahau daadeki.
Yaani swissport Wana 190,000 wanaiita handling fees kwa personal effects. Nilijutraaa.
Mimi nilikua na personal effects nyingi Sana nilikua nikiingia kwa kila mkaguzi na kumlilia. Nililia Sanaa kama mtoto mpaka jumla gharama ikawa kama laki tano na kitu. Ila nilijutraaaa. Mkuu we ulikua na kilo ngapi jumla???? Mi zangu zilikua kilo 190 hivi. Nililia sanaaa
Wale wajinga mno unalia na kuwapa pesa lkn bado wanavimba,
 
K
Mnafanya mpaka simu ambazo zilipaswa ziuzwe 100k kwa pc moja inauzwa 170k ili kufidia gharama
Kwa kweli, mzigo unaufikisha mpaka dar kwa pesa ndogo kuutoa sasa unaweza fikisha hata nusu ya gharama ya kununha mzigo wote
 
Back
Top Bottom