Kama ni adhabu ya kutoa mzigo pale airport ni hii, poleni wafanyabiashara

Maagent pale Airport ndiyo madalali Wa hawa maofisa Wa Serikali. Hupanga pamoja kabisa kuwa huyu lazima tumbane atoe rushwa au tumbandike kodi kubwa.

Kiufupi Ma agent wako kumkandamiza Mwenye mzigo kuliko kumsaidia..
Nakwambia BORA bandarini, kupokea mzigo airport, ni frustrating affair.
Hutotaka tena.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Uii sitaki hata kukumbuka pesa zilizotoka na baada ya hapo unapewa mzgo ni saa saba usiku unatoka getin polisi wanasearch gari yako kwa nn umetoa mzgo usiku. Una nn kisichohalali utoe usiku? Inhiza gari kituoni na pesa nyingin inatoka. Airport mtian. Ukutane na kijana wa tbs anaetafta cheo utaweuka
 
Habari,

Ninaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno yanayozidi kiasi; natamani kuukana uzalendo kabisa

Nilienda kupokea mzigo wangu pale airport kg 63 personal effect ambao ulichukua siku nne mpaka kuutoa pale ndani

Kwa ufupi airport cargo kuna mapungufu makubwa mno na gharama ambazo si za msingi

1. Ili upate mzigo lazima uwe na agent ambaye unatakiwa umlipe sijui kwa. Nini wameweka huu mfumo?
2. Mzigo unakagulia na taasisi kama tano hivi na zote unatakiwa ulipie TRA, TBS, hearth care, TFDA n.k

Hizo taasisi utakuta kuna agent mmoja mmoja ambae anakagua mizigo na kuingiza data

Nimesikitishwa kuona TBS wana fees kubwa kuliko TRA nililipa TRA 41,000/- TBS 180,000/- (personal effect )

Gharama za storage zipo juu ya mteja japo uzembe wa kutoa mzigo ni wa mamlaka husika

Mwisho
Rafiki yangu alituma mzigo kupia Kenya mpaka Tanzania alilipa laki mbili mpaka kuupata mimi nimemaliza laki saba

Mamlaka husika boresheni huduma za Airport mnakosa mapato mengi kizembe
si bora angetuma kwa basi tu maana kuna mabasi mengi yanayotoka Kenya kuja Tz
 
Kuna siku nilijua pale airport cargo kuna mashetani. Pale kuna wizi mno usiombe kwenda kutoa maiti kutoka hata ndani ya nchini. Jamaa wanaibia hata maiti.
 
Uii sitaki hata kukumbuka pesa zilizotoka na baada ya hapo unapewa mzgo ni saa saba usiku unatoka getin polisi wanasearch gari yako kwa nn umetoa mzgo usiku. Una nn kisichohalali utoe usiku? Inhiza gari kituoni na pesa nyingin inatoka. Airport mtian. Ukutane na kijana wa tbs anaetafta cheo utaweuka
Mi Bora nimeamua kua masikini ili niishi kwa amani! Maana Nchi hii kumiliki Mali yoyote ile utajuta,ni Mzigo Mkubwa sana! Kila afisa wa Serekali atataka kula kupitia wwe!!
 
Habari,

Ninaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno yanayozidi kiasi; natamani kuukana uzalendo kabisa

Nilienda kupokea mzigo wangu pale airport kg 63 personal effect ambao ulichukua siku nne mpaka kuutoa pale ndani

Kwa ufupi airport cargo kuna mapungufu makubwa mno na gharama ambazo si za msingi

1. Ili upate mzigo lazima uwe na agent ambaye unatakiwa umlipe sijui kwa. Nini wameweka huu mfumo?
2. Mzigo unakagulia na taasisi kama tano hivi na zote unatakiwa ulipie TRA, TBS, hearth care, TFDA n.k

Hizo taasisi utakuta kuna agent mmoja mmoja ambae anakagua mizigo na kuingiza data

Nimesikitishwa kuona TBS wana fees kubwa kuliko TRA nililipa TRA 41,000/- TBS 180,000/- (personal effect )

Gharama za storage zipo juu ya mteja japo uzembe wa kutoa mzigo ni wa mamlaka husika

Mwisho
Rafiki yangu alituma mzigo kupia Kenya mpaka Tanzania alilipa laki mbili mpaka kuupata mimi nimemaliza laki saba

Mamlaka husika boresheni huduma za Airport mnakosa mapato mengi kizembe
Hao wa ngese airport sitawasahau daadeki.
Yaani swissport Wana 190,000 wanaiita handling fees kwa personal effects. Nilijutraaa.
Mimi nilikua na personal effects nyingi Sana nilikua nikiingia kwa kila mkaguzi na kumlilia. Nililia Sanaa kama mtoto mpaka jumla gharama ikawa kama laki tano na kitu. Ila nilijutraaaa. Mkuu we ulikua na kilo ngapi jumla???? Mi zangu zilikua kilo 190 hivi. Nililia sanaaa
 
Nilikuwa na kilo 63 tu mkuu
 
Habari,

Ninaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno yanayozidi kiasi; natamani kuukana uzalendo kabisa

Nilienda kupokea mzigo wangu pale airport kg 63 personal effect ambao ulichukua siku nne mpaka kuutoa pale ndani

Kwa ufupi airport cargo kuna mapungufu makubwa mno na gharama ambazo si za msingi

1. Ili upate mzigo lazima uwe na agent ambaye unatakiwa umlipe sijui kwa. Nini wameweka huu mfumo?
2. Mzigo unakagulia na taasisi kama tano hivi na zote unatakiwa ulipie TRA, TBS, hearth care, TFDA n.k

Hizo taasisi utakuta kuna agent mmoja mmoja ambae anakagua mizigo na kuingiza data

Nimesikitishwa kuona TBS wana fees kubwa kuliko TRA nililipa TRA 41,000/- TBS 180,000/- (personal effect )

Gharama za storage zipo juu ya mteja japo uzembe wa kutoa mzigo ni wa mamlaka husika

Mwisho
Rafiki yangu alituma mzigo kupia Kenya mpaka Tanzania alilipa laki mbili mpaka kuupata mimi nimemaliza laki saba

Mamlaka husika boresheni huduma za Airport mnakosa mapato mengi kizembe
Mama akisema tuwalete wahindi na wa Tamir wa kule Colombo kama Dubai na Doha mnamuona mama si mzalendo. Sisi wamatumbi tuendelee kulima korosho tu na kuchapa ulanzi mambo yaende.
 
Maagent pale Airport ndiyo madalali Wa hawa maofisa Wa Serikali. Hupanga pamoja kabisa kuwa huyu lazima tumbane atoe rushwa au tumbandike kodi kubwa.

Kiufupi Ma agent wako kumkandamiza Mwenye mzigo kuliko kumsaidia..
Ni maajenti wa kukusanya fedha kwa niaba ya wakubwa.
 
Mama akisema tuwalete wahindi na wa Tamir wa kule Colombo kama Dubai na Doha mnamuona mama si mzalendo. Sisi wamatumbi tuendelee kulima korosho tu na kuchapa ulanzi mambo yaende.
Dawa siyo kuleta wageni ila uongozi uwe mzuri. Haya mambo viongozi wetu wangekuwa na nia mbona''yanatibika'' kirahisi tu?
 
Mamlaka husika msiboreshe huduma za Airport kwa sababu kila tukipiga kelele juu ya mambo ya ajabu ambayo yanaendelea katika nchi hii huwa tunaitwa ni wapinzani.Endeleeni kukaza ili wajue kuwa hakuna alie salama.
 
WAMEKUPIGA PENGINE HUJUI CLEARANCE PROCEDURE..! UNGEMPA AGENT UNAE MFAHAMU NDUGU! PERSONAL EFFECT NI NON VALUED
 
Tatizo ni ubinafsi kuanzia serikalini. Waruhusu private sectors watoe hizo huduma pia uone kama hayo yatakuwepo.

Serikali inaogopa washindani kwasababu kwanza hawajui biashara na kila kitu kuamua kwa kutumia nguvu, yaani ukiambiwa ni A ni A mzee no bargaining kwa kuangalia ualisia wa jambo.

Serikali iruhusu sector binafsi kuanzisha huduma ambazo zinatolewa na serikali tu.

Nilizaliwa Tanzania ila siipendi sana hii nchi kutokana na siasa zake. Dhuluma na unyang'anyi ni mpaka kwenye vyombo vinavyoaminika kulinda haki za RAIA.
 
Mamlaka husika msiboreshe huduma za Airport kwa sababu kila tukipiga kelele juu ya mambo ya ajabu ambayo yanaendelea katika nchi hii huwa tunaitwa ni wapinzani.Endeleeni kukaza ili wajue kuwa hakuna alie salama.
Na kwa bahati mbaya UJAMAA umeua confidence za RAIA na ujasiri wa kudai haki yake na kwasasa uoga umetawala na wachache wanaojielewa kutulizwa kimabavu huku wengine wakiendeshwa kama maroboti. Ukitafakari hii nchi deepdown inasikitisha sana.
 
Nchi ngumu sana hii na Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake
Huu ni ukweli kwa asilimia 100, kuna mahali nilifanya kazi nikawa nalipwa 400k(kama extra) na mzungu ila kupitia viongozi wetu waafrika, ukafika muda tukamface mzungu tukamuomba atuongezee hata kidogo akasema, "nina uwezo wa kuwalipa 1.5mil kila mmoja ila uongozi wenu walikataa, nendeni mkawambie mimi nipo tayari kuwalipa pesa yoyote". Alitupatia pesa ya kujikimu siku hiyo na akatuonea huruma sana akidai watanzania wenzetu ndio kikwazo.
 
Back
Top Bottom