Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

Changamoto ya simba ni.

1. Golikipa.
Yanga wakishindwa kumfunga Ally salum wajinyonge wenyewe.
Manula akirudi itakuwa poa sana

2. Kiungo cha Ukabaji ni tatizo sugu
Kiungo wa ulinzi No6.

3. Kiungo No 10
Ukimtoa saido anaepoteza sana mipira na kukosa Magoli mengiiiiiiii

HAPA KAMA KILA KITU KINGEKUWA SAWA SIMBA ANGEWEZA KUPATA USHINDI MNONO.

🙏
 
Changamoto ninayoiona kwa Yanga ni eneo la kati kati kiungo cha ukabaji.

1. Aucho ni mzuri sana akicheza juu kama No 8
Akicheza pale shimoni anafaul nyingi mno.

Akipata kadi ya Njano moja itaugharimu mchezo.

2. Eneo la Ulinzi ili yanga iwe salama inahitaji kuanza na Back 3
Baka, job na mwamnyeto
Wakianza hawa watatu maana yake pakome ataanzia Benchi
Hilo ni tatizo.

3. Eneo la Ushambuliaji.
Wakina azizi wanaweza kufunga lakini kama akina inonga wakikosa mtu wa kumkaba watakuwa free sana kupandisha mashambulizi
(Mzinze na inonga ni mbingu na ardhi.
 
Jpili hakuna derby yoyote ndugu, ule ni mchezo mwingine tu kama vile Ihefu - Mechi za Simba za kiume zinajulikana - Jpili ni kula pilau na mwali wetu kisha kwenda naye getto kumalizia.
 
Sawa sawa mkuu
 
Mechi ngumu Sana ila simba tukiwa press kuanzia juu tunashinda

Ni kweli kaka.
Yanga watakuwa salama sana kama wataanza na Back 3
Baka.
Mwamnyeto na
Job

Ila ukianza na Back 3 either kati ya Yao au pakome mmoja awe benchi.

Inonga atapandisha sana mashambulizi na kurelax pale hakuna Mayele wa kumsumbua kuna ka mzinze tu.......
 
Nimeona comments kadhaa zikiashiria dharau kwa Mzize. Nami nafurahi sana ila mkae mkijua kichwani kwa Inonga na Malonya haipo ivyo hata kidogo. Anaweza kuwa na nafasi ndogo ya kuwasumbua mabeki wa Simba ila anaweza kuwa ndio ufunguo wa ushindi wa Yanga.
 
Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.

Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.

Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
 
Upo sahihi mkuu.

Robertinho hajawahi kufungwa na Yanga Michezo mingi sana

Hata akiwa Uganda na vipers hajafungwa na Yanga.

Hii ni moja kati ya sababu zinazombeba sana Robertonho kubaki simba mbaka sasa.....
 
JamiiForums-1644459075.jpg
 
Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.

Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.

Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
Mechi ya ngao ya jamii iliisha kwa suluhu.
 
Ina maana Simba imeifunga Yanga magoli mengi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini 😁
Takwimu unaisomaje? Yanga kaifunga Simba magoli 173 huku Simba wakiifunga Yanga magoli 154 hivyo Simba anadaiwa magoli 19 na Yanga.
 
Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.

Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.

Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
Ndio atafungwa weekend hii, Tanga tuliwafunga goli la halali kabisa refa akawabeba
 
Back
Top Bottom