Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.

Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.

Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
Haya umeyawaza wewe pekee, sidhani mtu professional kama Gamond na benchi lote la ufundi wasijue haya.
 
Tugange yajayo...mechi ilikua yetu...mwalimu alivurugwa...
 
6-0,
5-0,
4-1,
4-1,
Hivyo ni vipigo vitakatifu ambavyo Yanga hana hiyo rekodi [emoji16]
JamiiForums-1509915263.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom