CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
- Thread starter
-
- #21
labda atashinda njaaSimba anashinda ..tunzeni hii comment
Jpili hakuna derby yoyote ndugu, ule ni mchezo mwingine tu kama vile Ihefu - Mechi za Simba za kiume zinajulikana - Jpili ni kula pilau na mwali wetu kisha kwenda naye getto kumalizia.
Mechi ngumu Sana ila simba tukiwa press kuanzia juu tunashinda
Ee kauli mbiu yangu ni hii hii tukutane baada ya mechiTukutane baada ya mechi..!!
Kama nyie mnavyoshindiaga mihogo...labda atashinda njaa
BokoMsiombe kona kwa wale watu warefu. Hawa 6feet.
1. Inonga.
2. Ngoma.
3. Kanute.
Atashinda na njaa.Simba anashinda ..tunzeni hii comment
Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.
Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.
Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
Weka dau na M-Bet, Betpawa au SportPesa, mbona mnapenda ligi za kijinga? π
Mechi ya ngao ya jamii iliisha kwa suluhu.Ugumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.
Ikumbumbikwe pia Simba imetuadhibu mara mbili, kwenye ligi na ngao ya Hisani, kwa rekodi hizi huenda simba wakaja more confidence than Yanga wakajikuta hawafanyi makosa mengi wakishinda hivi game.
Yanga hatuna rekodi nzuri za hivi karibuni, tunakuja tukiamini kikosi chetu ni bora kuliko cha simba, tukajikuta tunashindwa kuwaheshimu then tukaadhibiwa
Takwimu unaisomaje? Yanga kaifunga Simba magoli 173 huku Simba wakiifunga Yanga magoli 154 hivyo Simba anadaiwa magoli 19 na Yanga.Ina maana Simba imeifunga Yanga magoli mengi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini π
Ndio atafungwa weekend hii, Tanga tuliwafunga goli la halali kabisa refa akawabebaUgumu wa hii game iko hivi, Yanga inaonekana ni bora kuliko Simba, lakini takwimu za Simba zinaibeba simba, Simba haijafungwa hata mechi moja toka Robertinho awe kocha wa Simba.