Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Mbona sioni tatizo lolote....

Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....

Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Kuna matatizo makubwa ya fikra miongoni mwetu watanzania. Wengine hatujitambui n.a. yuko busy kujaribu kuwaambukiza wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…