Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilazimishe watu wakubaliane na umbea wako wa kiume, kwa hiyo wewe ndo msemaji wa familia ya Mzee Kinana?Alivyoondoka kwenda kwenye matibabu ukimuona? Au ulipewa taarifa tu?
Tangazia uma wa watanzania na tuaminishe hiyo tofauti wewe.Muhimu jibu hoja, hii post haina uhusiano wowote na post yoyote ya siku za nyuma. Najiuliza hivi inawezekana Mheshimiwa Kinana atoke kwenye Matibabu halafu Jakaya asiende kumjulia hali? Lazima kuna kitu tofauti.
Hata yule aliyeenda kutibiwa tezi dume marekani tuliona picha zake akiwa hospitalini huko na aliporudi tuliona picha zake akirudi!Hata kuumwa mguu kwa mwenyekiti wa NCCR Mbatia tumeona kwenye TV na magazeti,huyu Abdu mmmhhh .
hahahaha mpiga picha ilibidi abadili gear angani hahahaMbona sioni tatizo lolote....
Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....
Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Wabongo tunapenda sana udakuHabari wanajamvi!
Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya matibabu,lakini kwa sasa amerudi yupo Nchini anapumzika nyumbani kwake! Hajafafanua kama ni Dar es salaam au Arusha. Nikajiuliza maswali yafuatayo;
- Hivi inawezekana kweli Katibu Mkuu wa chama arudi kutoka kwenye matibabu halafu asipokelewe na Mtu yeyote pale Airport? Hata ndugu zake hawakwenda kumlaki? Yaani asionekane na mwandishi wa habari hata mmoja?
- Tuseme yupo nyumbani kweli anaendelea kupumzika baada ya matibabu na huenda ana ED za miezi miwili au mitatu, lakini hakuna hata mtu mmoja alie kwenda kumpa pole? Yaani hata katibu mwenezi Naibu katibu mkuu hawajaenda kumpa pole!
- Yaani hata viongozi wote wanao julikana kwa uungwana wao wa asili kama Mbowe, Maalimu Seif, n.k Hawajaenda kumjulia hali? Nini kimetokea?
Ndio maana nikaishia kusema kama ni kweli kuwa Comrade Alhajji Abdulrahmani Kinana amerudi yuko nyumbani na hakuna mtu hasa wanao penda kuonekana kwenye vyombo vya habari, basi ni dhahiri ndugu yetu amedharauliwa na kupuuzwa.
Binafsi naomba wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kampeni pole kwa niaba yangu.
View attachment 505109
Hawawezi, tena hasa wale wazee wa waraka elekezi ndio hutawaona kabisa. Hii timua timua ingefanywa na alhaji dangadunguri maandamano yangefika feri. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viongozi wa dini hebu ingilieni hili swala liishe mara moja.....mzaha mzaha uzaa usaa.
Komredi hakubaliani na panga pangua za vijana alioamini kabisa ndio warithi wa chama kwa juhudi zao zakukubali kufa ila chama kipite.Kwa sasa ni ngumu sana kwa wanaCCM kufarijiana hasa kama wakijua anayehutaji faraja hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wenye 'say kubwa' ndani ya chama.
Msisahau dhahama ilotaka kuwapata waloenda kumuona Lema Kisongo.
Nyie vp???
Hakuondoka, alitumwa, sasa amerudi nendeni mkamsalimie basialivoondoka mbona pia hamkusema kwanini ameondoka kimya kimya??mbona mbatia ameenda kutibiwa amerudi kimyakimya hakuna aliyehoji kama mnavohoji juu ya kinana??
Yangu lini mbowe akawa muungwanaHabari wanajamvi!
Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya matibabu,lakini kwa sasa amerudi yupo Nchini anapumzika nyumbani kwake! Hajafafanua kama ni Dar es salaam au Arusha. Nikajiuliza maswali yafuatayo;
- Hivi inawezekana kweli Katibu Mkuu wa chama arudi kutoka kwenye matibabu halafu asipokelewe na Mtu yeyote pale Airport? Hata ndugu zake hawakwenda kumlaki? Yaani asionekane na mwandishi wa habari hata mmoja?
- Tuseme yupo nyumbani kweli anaendelea kupumzika baada ya matibabu na huenda ana ED za miezi miwili au mitatu, lakini hakuna hata mtu mmoja alie kwenda kumpa pole? Yaani hata katibu mwenezi Naibu katibu mkuu hawajaenda kumpa pole!
- Yaani hata viongozi wote wanao julikana kwa uungwana wao wa asili kama Mbowe, Maalimu Seif, n.k Hawajaenda kumjulia hali? Nini kimetokea?
Ndio maana nikaishia kusema kama ni kweli kuwa Comrade Alhajji Abdulrahmani Kinana amerudi yuko nyumbani na hakuna mtu hasa wanao penda kuonekana kwenye vyombo vya habari, basi ni dhahiri ndugu yetu amedharauliwa na kupuuzwa.
Binafsi naomba wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kampeni pole kwa niaba yangu.
View attachment 505109
Jibu hoja ni kawaida kwa kiongozi wa ngazi ya juu kama KATIBU MKUU wa chama kurudi kimyakimya? Imeanza lini? Au nako ni kubana matumizi?
I used to think that you were probably prudent and brilliant enough, I didn't know if you're such a stupid, who honors his daftness to the extent that you sit outside the devilish Lumumba doors to eat the crumbs given to you by your masters, who hired you for social networks propaganda, if you failed to labor in the US for your daily and your toddlers, how will you look after your family by being fed by the condemned bread from dirty hands?
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani. Lakini inawezekana daktari wake ameshauri mgonjwa apewe muda mrefu wa kupumzika (Strict Bed Rest = SBR). Kwa kutambua wadhifa wa mgonjwa kwa jamii mlolongo wa watu kwenda kumtembelea ni expected, kitu ambacho kinaweza kuwa na madhara kwake. Hivyo masharti ya daktari ya SBR yanapaswa kuzingatiwa na ndiyo maana kurejea kwake hakukutangazwa.Utetezi wa kitoto hautakisaidia chama chenu. Ni sawa una kidonda badala ya kukitibu unakifunika na kinaendelea kuoza.
Kinana alipotumwa kutibiwa India aliondoka kwa ungo? Na kurudi alitumia ungo? Toka lini kiongozi wa nchi hii akaugua na kutibiwa kwa siri nje ya nchi kwa fedha za umma au chama?
Jambo la siri ni aina ya ugonjwa lakini sio kuugua. Semeni mlichomfanya AK LA sivyo watumishi waandamizi wataingiwa woga na madhara yake mtayaona