miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
tuwe wapole tuHii hadi ifike tamati , tutatumwa hadi tukome kuzaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuwe wapole tuHii hadi ifike tamati , tutatumwa hadi tukome kuzaliwa.
Ipo siku upole utaisha huutuwe wapole tu
kabisa mkuuIpo siku upole utaisha huu
Sasa Kinana ni Mama Janet? Mama Janet ni mke wa Rais wa nchi yako, bado huoni tofauti hapo?mbona mama janet wakati amelazwa alionyeshwa?
Hivi ngosha ni muuaji eeeeh ?Mhhh mzee AK kubali masharti ya ngisha atakuua huyu
Kumbe jamaa karudi bongo???? Karibu aiseee ila timing inaweza kuwa sio nzuri sanaI used to think that you were probably prudent and brilliant enough, I didn't know if you're such a stupid, who honors his daftness to the extent that you sit outside the devilish Lumumba doors to eat the crumbs given to you by your masters, who hired you for social networks propaganda, if you failed to labor in the US for your daily and your toddlers, how will you look after your family by being fed by the condemned bread from dirty hands?
Comrade Kinana hakwenda India kutibiwa. Yeye alitumwa kwenye matibabu India. Na iliandikwa FENT FORD kabisa kwenye magazeti..ALITUMWA kwenye matibabu IndiaWakati anaondoka, alikuwepo nani airport kumuaga? Hao waandishi uchwara wenyewe taarifa za Komredi kwenda kutibiwa waliambiwa na Rais Magufuli na kurudi kwake wameambiwa na Mwenezi Polepole. Shida nini?
Fungua macho utaona tatizo.Mbona sioni tatizo lolote....
Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....
Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Kwa sasa ni ngumu sana kwa wanaCCM kufarijiana hasa kama wakijua anayehutaji faraja hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wenye 'say kubwa' ndani ya chama.Acha kutuzuga bwana hivi karibuni tu tumemuona mwenyekiti wa NCCR mzee Mbatia katoka kutibiwa kila siku tulikuwa tunaona picha zake humu watu wakienda kumsalimia pamoja na kuwa na wanachama wachache itakuwa Katibu wa CCM chama tawala na wanaoongoza kwa kupenda publicit na sifa ? Kama katelekezwa nakubali.
alivoondoka mbona pia hamkusema kwanini ameondoka kimya kimya??mbona mbatia ameenda kutibiwa amerudi kimyakimya hakuna aliyehoji kama mnavohoji juu ya kinana??Jibu hoja ni kawaida kwa kiongozi wa ngazi ya juu kama KATIBU MKUU wa chama kurudi kimyakimya? Imeanza lini? Au nako ni kubana matumizi?
Wana ccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete .Kwa sasa ni ngumu sana kwa wanaCCM kufarijiana hasa kama wakijua anayehutaji faraja hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wenye 'say kubwa' ndani ya chama.
Msisahau dhahama ilotaka kuwapata waloenda kumuona Lema Kisongo.
Nyie vp???
kaka bila fitna nchi hii huwezi piga hatuaNdiyo maana Wanawake siku hizi wanalalamika wanakosa Wanaume wa kuwaoa, na walioolewa wanatembea nje kwa sababu Wanaume ni kama Wanawake na wewe ni mmoja wapo, nina uhakika ni lazima Mwanamke wako kama bado bado yuko na wewe basi anachepuka, Wanawake hawapendi Wanaume suruali, yaani wanaume wenye mambo ya Kimbea, Majungu na Fitina, you suck!