Kuanguka ndiyo nini?Kumtetea mwarabu ngumu sana, naona sasa umehamia kwenye mafundisho ya Quran, kama vile hiyo Quran ndio imewafundisha kuhonga/hongwa ili mpate mnachotaka hapa duniani!.
Kwa hili la mwarabu, bibi utarukia kila tawi la kila mti, lakini mwisho wa siku, utaanguka tu.
Wewe bwabwaj na uhororoje mpaka uzimie.Kumtetea mwarabu ngumu sana, naona sasa umehamia kwenye mafundisho ya Quran, kama vile hiyo Quran ndio imewafundisha kuhonga/hongwa ili mpate mnachotaka hapa duniani!.
Kwa hili la mwarabu, bibi utarukia kila tawi la kila mti, lakini mwisho wa siku, utaanguka tu.
Nilikuuliza ufanye reflection tuu lakini umejibu siyo shida. Shida ni majibu yako yanalalia ktk dini yako wakati swali linahusu mdtabali mzima wa bandari za Tanzania main land.Nyerere namnukuu na kumuandika sana, hata nyuzi zake nimefunguwa.
Naiona fitna kubwa sana. Lakini sistuki sana kwa hilo, kwa kuwa Uislam umeshaliandika kwenye Qur'an. Fitna kubwa sana ni mali. Na hii ni deal ya karne, ina mali nyingi sana ndani yake, kwa hiyo fitna siyo kubwa tu bali nyingi.
Licha ya hayo, pia Qur'an inatufundisha, kuwa kuna nyakati mnavipenda vitu lakini ndiyo shari yenu na kuna nyakati mnavichukia vitu lakini ndiyo kheri yenu.
Waislam tunaamini kuwa alitakalo Allah hakuna binaadam yeyote anaeweza klizuwia na pia asilolitaka, hakuna binaadam yeyote anaeweza kulifanya.
Kwa aya hizo, hakuna Muislam mwenye kuogopa kufanya chochote cha halali.
Umepaniki!Wewe bwabwaj na uhororoje mpaka uzimie.
Unafahamu kuwa DP World wapo bandarini tayari?
Dawa yao ni uasi chuma chumaMsigwa huyo ndo anahandisi huu ujinga,kweli wametuona Watanganyika ni wajinga sana hadi wanatupelekea vilaza hawa ili watushawishi kuhusu DP.Hawa ambao hata mkataba hawajasoma.Hata kingereza hawajui.
Tuwe kama Wagner.Sema hatuna Silaha 🤣.Dawa yao ni uasi chuma chuma
Uko sahihi kabisaIla haya mambo mbona yanafanana na yale yale ya akina Mangungo? Hivi hatuoni kama tunadhalilishwa na watu wetu wenyewe?
Ukijiuliza hivi raia wa nchi zilizoendelea wanaweza kufanywa makatuni hivi na mataifa yao yakakubali?
God help us!
Sana tena, nnafuraha Waarabu wako bandarini.Nilikuuliza ufanye reflection tuu lakini umejibu siyo shida. Shida ni majibu yako yanalalia ktk dini yako wakati swali linahusu mdtabali mzima wa bandari za Tanzania main land.
Hivi wewe mwenyewe siyo mpiga fitna kwa upande mmoja?
Nchi imefikia kwenye level nyingine hii. And God cannot help if the wananchi are fast asleep. Ila kwa upande mwingine naona ni kama uongozi wa juu unapigwa na maluweluwe mapka kufikia kufanya vitu vya kijinga kabisa! Inawezekana pengine ni new era inaanza kwa nchi yetu? Pengine.Ila haya mambo mbona yanafanana na yale yale ya akina Mangungo? Hivi hatuoni kama tunadhalilishwa na watu wetu wenyewe?
Ukijiuliza hivi raia wa nchi zilizoendelea wanaweza kufanywa makatuni hivi na mataifa yao yakakubali?
God help us!
Sasa Hawa hawana madhara yeyote,wao ni machawa TU,hizi propaganda zao,zinasikika kwa asilimia 20 tu ya watu,wengi waishio vijijini,hawajuhi hatq hiyo mitandao ya kijamii,Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.
Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.
Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!
Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!
JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!
NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!
Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858
Unaogopa nn wewe kunywa biaNaogopa kama ni kweli!
Kwahiyo hawa wananguvu ya kulikemea taifa lenye watu million 60 nakuwaaminisha hayo! Au ndio wanaliwakilisha taifa sasa!Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.
Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.
Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!
Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!
JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!
NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!
Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858
Tanzania ipii?? Labda sio hii ya muasisi Nyerere.Nafikiri huu ndio mwisho wa chama cha mapinduzi hawana nafasi tena ya kuendelea kutawala Tz. Tanzania ni kubwa kuliko fisiemu. 2025 tunawatoa madarakani
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.
Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.
Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!
Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!
JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!
NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!
Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858
kuuza nchi sio jambo halali, bibi kauza bandari....Nyerere namnukuu na kumuandika sana, hata nyuzi zake nimefunguwa.
Naiona fitna kubwa sana. Lakini sistuki sana kwa hilo, kwa kuwa Uislam umeshaliandika kwenye Qur'an. Fitna kubwa sana ni mali. Na hii ni deal ya karne, ina mali nyingi sana ndani yake, kwa hiyo fitna siyo kubwa tu bali nyingi.
Licha ya hayo, pia Qur'an inatufundisha, kuwa kuna nyakati mnavipenda vitu lakini ndiyo shari yenu na kuna nyakati mnavichukia vitu lakini ndiyo kheri yenu.
Waislam tunaamini kuwa alitakalo Allah hakuna binaadam yeyote anaeweza klizuwia na pia asilolitaka, hakuna binaadam yeyote anaeweza kulifanya.
Kwa aya hizo, hakuna Muislam mwenye kuogopa kufanya chochote cha halali.
Wa hao makatuni wanafurahia kulishwa nchi za watu...Urithi gani umeuzwa?