Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

Kumtetea mwarabu ngumu sana, naona sasa umehamia kwenye mafundisho ya Quran, kama vile hiyo Quran ndio imewafundisha kuhonga/hongwa ili mpate mnachotaka hapa duniani!.

Kwa hili la mwarabu, bibi utarukia kila tawi la kila mti, lakini mwisho wa siku, utaanguka tu.
Kuanguka ndiyo nini?

Sijakuelewa binti.
 
Kumtetea mwarabu ngumu sana, naona sasa umehamia kwenye mafundisho ya Quran, kama vile hiyo Quran ndio imewafundisha kuhonga/hongwa ili mpate mnachotaka hapa duniani!.

Kwa hili la mwarabu, bibi utarukia kila tawi la kila mti, lakini mwisho wa siku, utaanguka tu.
Wewe bwabwaj na uhororoje mpaka uzimie.

Unafahamu kuwa DP World wapo bandarini tayari?
 
Nyerere namnukuu na kumuandika sana, hata nyuzi zake nimefunguwa.

Naiona fitna kubwa sana. Lakini sistuki sana kwa hilo, kwa kuwa Uislam umeshaliandika kwenye Qur'an. Fitna kubwa sana ni mali. Na hii ni deal ya karne, ina mali nyingi sana ndani yake, kwa hiyo fitna siyo kubwa tu bali nyingi.

Licha ya hayo, pia Qur'an inatufundisha, kuwa kuna nyakati mnavipenda vitu lakini ndiyo shari yenu na kuna nyakati mnavichukia vitu lakini ndiyo kheri yenu.

Waislam tunaamini kuwa alitakalo Allah hakuna binaadam yeyote anaeweza klizuwia na pia asilolitaka, hakuna binaadam yeyote anaeweza kulifanya.

Kwa aya hizo, hakuna Muislam mwenye kuogopa kufanya chochote cha halali.
Nilikuuliza ufanye reflection tuu lakini umejibu siyo shida. Shida ni majibu yako yanalalia ktk dini yako wakati swali linahusu mdtabali mzima wa bandari za Tanzania main land.
Hivi wewe mwenyewe siyo mpiga fitna kwa upande mmoja?
 
Msigwa huyo ndo anahandisi huu ujinga,kweli wametuona Watanganyika ni wajinga sana hadi wanatupelekea vilaza hawa ili watushawishi kuhusu DP.Hawa ambao hata mkataba hawajasoma.Hata kingereza hawajui.
 
Ila haya mambo mbona yanafanana na yale yale ya akina Mangungo? Hivi hatuoni kama tunadhalilishwa na watu wetu wenyewe?

Ukijiuliza hivi raia wa nchi zilizoendelea wanaweza kufanywa makatuni hivi na mataifa yao yakakubali?

God help us!
Uko sahihi kabisa
 
Nilikuuliza ufanye reflection tuu lakini umejibu siyo shida. Shida ni majibu yako yanalalia ktk dini yako wakati swali linahusu mdtabali mzima wa bandari za Tanzania main land.
Hivi wewe mwenyewe siyo mpiga fitna kwa upande mmoja?
Sana tena, nnafuraha Waarabu wako bandarini.

Wamesema kitu cha kwanza wanaweka Masjid mule ndani. Ma sha Allah.
 
Ila haya mambo mbona yanafanana na yale yale ya akina Mangungo? Hivi hatuoni kama tunadhalilishwa na watu wetu wenyewe?

Ukijiuliza hivi raia wa nchi zilizoendelea wanaweza kufanywa makatuni hivi na mataifa yao yakakubali?

God help us!
Nchi imefikia kwenye level nyingine hii. And God cannot help if the wananchi are fast asleep. Ila kwa upande mwingine naona ni kama uongozi wa juu unapigwa na maluweluwe mapka kufikia kufanya vitu vya kijinga kabisa! Inawezekana pengine ni new era inaanza kwa nchi yetu? Pengine.
 
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.

Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.

Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!

Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!

JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!

NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!

Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858
Sasa Hawa hawana madhara yeyote,wao ni machawa TU,hizi propaganda zao,zinasikika kwa asilimia 20 tu ya watu,wengi waishio vijijini,hawajuhi hatq hiyo mitandao ya kijamii,
Na Hawa ni victim TU wa mfumo,huwezi kukuta mtoto wa Karume,Nyerere,makamba,au wajukuu zao wanatumika kama hv kupiga Domo kwa ajili ya wawekezaji.
Wajukuu wa mwinyi,Nyerere,Samia,warioba,SITA,Kinana,huwezi kuwakuta wanajiita chawa!kama Hawa mburukenge!!
Watoto na wajukuu wa wakubwa wapo ulayq,au kwenye makampuni makubwa,wanatayarishwa kuja kuitawala Dunia,sio Hawa kenge,wanapewa vipande thelathini vya pesa,wanatingisha makalio,
Ni WA kuonea huruma,
 
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.

Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.

Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!

Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!

JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!

NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!

Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858
Kwahiyo hawa wananguvu ya kulikemea taifa lenye watu million 60 nakuwaaminisha hayo! Au ndio wanaliwakilisha taifa sasa!
Ingependeza wangechukua hata watoto wanaosomea sheria na uchumi!
 
Nafikiri huu ndio mwisho wa chama cha mapinduzi hawana nafasi tena ya kuendelea kutawala Tz. Tanzania ni kubwa kuliko fisiemu. 2025 tunawatoa madarakani
Tanzania ipii?? Labda sio hii ya muasisi Nyerere.
 
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.

Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai kwa nyakati za SINTOFAHAMU kubwa ihusuyo bandari yetu na wao badala ya kueleweka hakika zinaongeza maswali mengi mno kwa wenzetu wenye mashaka na mradi wetu pendwa tarajiwa.

Nakemea kwa nguvu zote, njia za aina yeyote zifananazo na hiyo ya ushawishi kwa jamii yetu kuhusu hilo!

Vilevile, siamini hao wasanii na watu maarufu wanatumia pesa zao kutoka mfukoni kuhimili gharama za hoteli za aina hiyo ya hapo juu kwa zaidi ya siku nne!

JE, KAMA HAWA WASANII WANATUNZWA KIFALME HIVYO (kama ni kweli) ILIKUWAJE KWA WAWAKILISHI WETU WALE 30?!

NAANZA KUHOFIA PENGINE TUPO KWENYE HATARI TARAJIWA!

Chama changu CCM naomba kama kikombe hicho kinaweza kutuepuka kwa kuzingatia MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu tulipendalo na tukiepuke!

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
View attachment 2666858

Hando zembwela na kitenge nao wako huko tangu juzi wanakula maisha tuu
 
Nyerere namnukuu na kumuandika sana, hata nyuzi zake nimefunguwa.

Naiona fitna kubwa sana. Lakini sistuki sana kwa hilo, kwa kuwa Uislam umeshaliandika kwenye Qur'an. Fitna kubwa sana ni mali. Na hii ni deal ya karne, ina mali nyingi sana ndani yake, kwa hiyo fitna siyo kubwa tu bali nyingi.

Licha ya hayo, pia Qur'an inatufundisha, kuwa kuna nyakati mnavipenda vitu lakini ndiyo shari yenu na kuna nyakati mnavichukia vitu lakini ndiyo kheri yenu.

Waislam tunaamini kuwa alitakalo Allah hakuna binaadam yeyote anaeweza klizuwia na pia asilolitaka, hakuna binaadam yeyote anaeweza kulifanya.

Kwa aya hizo, hakuna Muislam mwenye kuogopa kufanya chochote cha halali.
kuuza nchi sio jambo halali, bibi kauza bandari....

kama anawapenda sana waarabu akauze kule kwao mchamba wima!
 
Back
Top Bottom