Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20240812_115803~2.jpg

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
 
Attachments

  • 20240812_115803.jpg
    20240812_115803.jpg
    109.7 KB · Views: 8
Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.

Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
Mabikra 72 ni anasa kama anasa zingine, zinaa kuu..uko itakua ni mbingu ya ufuska..utumwa wa ngono.
Tafakari kila mwanaume akipewa bikra 72..atawatimizaje mahitaji yake. Hii ni uwongo

Haya maswala wanafundishwa toka utotoni so kuua ni jambo la kawaida kabisa kwao..Je ni dini gani hio inasema ukitoka ufe?kwanini ulazimishwe?
 
View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
ungetuwekea hivo vifungu vinasemaje,ingekuwa bora
maana wengine hicho kitabu tunakiogopa, tunaogopa majini
 
Najua umeweka kishabiki ila kama ni hukumu hujui ufanyalo , jaribu kusoma sio rahisi maana hizo ayah zipo miaka kibao wanaosambaza kama wewe ila hamna kitu kwa sababu ni urongo na kukosa maarifa .

Naochokuambia leo usipate tabu , ingia kweny mfumo wa AI kama chagpt au google Gemini , halafu uliza hayo maswali .

Usikurupuke waislamu wanasoma kila kitu kweny Qur an kwamba wakubali ayah zeny chuki kiasi hico!? 😀
 
Qur an 65:4

''Na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi. Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu, Yeye atamwezesha urahisi''

Wapi imeamrishwa kubaka ?
 
Najua umeweka kishabiki ila kama ni hukumu hujui ufanyalo , jaribu kusoma sio rahisi maana hizo ayah zipo miaka kibao wanaosambaza kama wewe ila hamna kitu kwa sababu ni urongo na kukosa maarifa .

Naochokuambia leo usipate tabu , ingia kweny mfumo wa AI kama chagpt au google Gemini , halafu uliza hayo maswali .

Usikurupuke waislamu wanasoma kila kitu kweny Qur an kwamba wakubali ayah zeny chuki kiasi hico!? 😀
Screenshot_20240812-125157.png
 
View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
Aya zako zote umetunga na hao mashetani wenzako kwa ajili ya chuki zenu, mungu mwingi wa haki humlipa kila mtu kwa anachofanya apunguzi wala haongezi, tunamuachia mungu atakulipa unachostahili wewe na kizazi chako kwa kueneza uongo
 
Mim ndo njia ya uzima King Jesus uyu hana haja na swala za waumini huko alipo......maana anajiamini yupo safe side........

Tumswalie Mtume mudy ili apunguziwe adhabu zake huko mbinguni

Nani anapaswa kumswalie mwezake ili apunguziwe adhabu na Mungu mimi muumini au Mitume

Y tuwaswalie wakati wao ndo makontawa kwa sir God
 
Mkuu hii vita hujaianza wewe
Wapo wengi wengi sana walouchafua UISLAM
Lakini ikawa ni sawa wanaupush zaidi
So hizo AYA zako za kujitungia sio wewe wa kwanza kusambaza lkn Bado UISLAM UISLAM unazidi kushamili
 
Qur an​

''Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ''
Quran 4:34 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 34
Quran 4:34 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 34
Kwa hiyo akifanya mtu ndio uislamu ? Ndio mnaposhindwa kujua mshambulie wapi , mnaangalia mtu mmoja mmoja ..Wale viongozi wa dini wanaofanya miujuzi , kufanya mambo ya ovyo bado huwezi kuichafua dini husika ni mtu binafsi .

Unapoteza point tunaongea hili unaleta hili 😀 😀 😀

Inawezekana ikawa mila zao , nje ya uislamu jamii hizo zilikuwa na utaratibu wake ...Au nikupe mada watu walikuwa wanao kwa miaka mingapi ? Baaddhi ya jamii zina mila zao.

Kasome jamii hizo kipind cha mediavl ,. je, mtume alipofika alikuta wao taratibu za watu wa pale walikuwa wanaoana kwa umri wa miaka mingapi..

SOma ndio uje la sivyo utakuwa mtu wa kuleta meme na taarifa ambazo hazina madhara.
 
Attachments

  • medieval.png
    medieval.png
    117 KB · Views: 8
Back
Top Bottom