LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Muongo wewe hizo aya zote ukisoma zinaelezea kitu tofauti kabisa kwa mfano Quoran 65:4 inazungumza kuhusu wanawake walio katika menopauseView attachment 3067658
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.