Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
Wewe ni **** kabisa
 
Quran 5:51 inasema haya hapa, ni karibu sawa na ilivyo kwenye screenshot ya meta mada

Quran 5:51
"O you who have believed, do not take the Jews and the Christians as allies. They are [in fact] allies of one another. And whoever is an ally to them among you—then indeed, he is [one] of them. Indeed, Allah guides not the wrongdoing people."
Kila siku USA anapeleka mabomu kule Ghaza kuua waislam ili kulinda wayahudi,huo ndio uswahiba wa yahudi na kristo uliosemwa hapo
Yahudi aliwasaidia wakristo wa Serbia kwenye Srebrenia massacre
Uingereza ,ufaransa , jeremani wote wanawahami yahudi
Kwa hiyo hapo umethibitisha tu hiyo Aya
Pengine mjadala ni mkubwa kwako
 
Ila nyie watu ni wakushikiwa sana akili kwa kweli, dah! Hii hoja ya mabikra 72 ndo mmeipata hivi karibuni eenh?

Uislamu ni dini ya maumbile ya mwanadamu kwakuwa aliye muumba mwanadamu ndo aliyemuumbia hisia zake na matamanio yake. Kile kilicho natural kwa mwanadamu basi Uislamu una-aknowledge.

Ni ipi starehe kubwa ya mwanaume hapa duniani? je unadhani ni ajabu Mungu kukuambia ukitii amri zake hapa duniani ataenda kukupatia kile unacho-desire na zaidi juu ya hicho?

Kuna mwanaume gani rijali asiyependa wanawake? ... just look around uone matangazo ya biashara yalivyo jaa nembo ya mwanamke ama vichocheo vya mwanamke katika kuitangaza kwake.

Na bado hakuna dini yoyote baada ya uislamu iliyo strick katika kukataza zinaa! ... hivi hamuoni ama?
Uko sahihi kabisa! Na tunawahitaji sana hao mabikra ila 72 ni wengi sana. Sijui ratiba inakuwaje maana kutoa bikra 72 si mchezo. Au mbinguni dushe linapewa nguvu mpya mtaalamu
 
Hapa Mimi ndipo ninapopata wasiwasi na uwezo wa Allah/ Mungu, inakuwaje anamwambia mtu wake akimbie maadui wakati yupo pale kutangaza ufalme wake Allah????

Kwanini asiwazuie Kwa uwezo wake hao wanaompinga mtume ili mtume aifanye kazi yake????

Naomba kuuliza shetani aliumbwa na Nani?
Ila hushangai uwezo wa Mungu uliomfanya akauawa na viumbe alivyoviumba tena Kwa kupigwa misumari ya ugoko na viganja kisha kuanikwa juani
Mungu anatweza nguvu na viumbe vyake vyenyewe mpaka anauawa ,inastaajabisha
 
We una tatizo la uelewa nahisi! ... mbona unachokiongea ni tofauti na ulichoambiwa?
Huyo ni wale watoto waliobanwa vichwa na mama zao wakati wa kuzaliwa akakosa hewa ya kutosha kiasi kupata hitilafu Kwa ubongo, tunaita Hypoxic Ischaemic Encephalopathy, Kwa hiyo Hana fahamu mkuu
Mtindio wa ubongo unamuelewesha atakuelewa
 
Uko sahihi kabisa! Na tunawahitaji sana hao mabikra ila 72 ni wengi sana. Sijui ratiba inakuwaje maana kutoa bikra 72 si mchezo. Au mbinguni dushe linapewa nguvu mpya mtaalamu
Unaona jinsi ulivyo na akili mgando? kipi kikubwa katika haya mawili? ... Mungu kukufufua baada ya kufa au kukupa nguvu zaidi ya uliyonayo duniani?
 
Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.

Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu

Acheni huo upotoshaji, wa Satanic verses wala hautawasaidia....
Mimi nimesoma tu mstari wa kwanza hapo; Labda niwawekee kwa kiswahili ili muone ukweli

Kwa mujibu wa Quran Sura 65:4 – Sura Att’Allaq (sura inayohusu mambo ya kutalakiana)
"Na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi. Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu humfanyia mambo yake kuwa mepesi"

Huyo mpumbavu yeye kaandika
Rape, Marry and Divorce Pre pubescent Gills (65:4)
Sijui anafikiri watu wote hawaelewi kiingereza
 
Hapo kurani inatia muongozo wa muda wa kukaa eda wakati wa kutoa talaka kwa wanawake waliokoma kupata hedhi (waliofika menopause) na ambao hawapati hedhi (vibinti vidogo).
Yaani unaweza kuoa katoto, na ukakapa talaka.

Context ilikuwa kwamba wanawake wakipewa talaka, wanapaswa kuwa eda kwa kipindi Cha hedhi tatu, Kisha huachika rasmi.
Wana wakamuuliza mtume, vipi kwa wale ambao washakoma kupata hedhi na hawa ambao bado? ( Vitoto), ndiyo mtume (warlord) akawa anatoa maelekezo.

Certified paedophiles.
Mbona ume-limit Uwezo wako wa kufikiri kwa watoto wadogo pekee.??

Kwani wasiopata hedhi ni watoto wadogo pekee? Vipi Wanawake above 45?

Unajua kitu kinaitwa Menopause?

Sijui shida iko wapi kwa ninyi ndugu zetu.
 
Sura ya 65 kwenye Quran inaitwa Att’Allaq (wanaotalakiana)
Tunajua wanaotalakiana ni watu walio oana; Kwa mujibu wa Biologia tunajua kuwa, wanawake wanaweza kukoma hedhi kwa sababu ya umri, ugonjwa, maumbile au kukoma hedhi kwa muda kunakosabishwa na ujauzito, na ndicho kilicho maanishwa kwa hiyo aya
Huyo mpumbavu anaye andika; Rape, Marry and Divorce Pre pubescent Gills (65:4)-anatuletea reference za upotoshaji kutoka kitabu cha Satanic verses
 
Mbona ume-limit Uwezo wako wa kufikiri kwa watoto wadogo pekee.??

Kwani wasiopata hedhi ni watoto wadogo pekee? Vipi Wanawake above 45?

Unajua kitu kinaitwa Menopause?

Sijui shida iko wapi kwa ninyi ndugu zetu.
Huo mstari unazungumzia makundi mawili.
Waliokoma kupata hedhi (hao wa menopause) na wasiopata hedhi, ambao kimsingi ndiyo hao watoto.

Kasome huo mstari mwanzo hadi mwisho kisha urudi tujadiliane.

Pili, hatuna shida yoyote. Ninyi ndugu zetu mko kwenye denial ya mapungufu ya kitabu cha waarabu, mnatuchukia kaka na dada zenu kwa ajili ya waarabu.
 
HII DINI NI YA KIKATILI,UUAJI NA KUTIA HOFU KAMA HOFU ANAVYOWAAMBIA WAUMINI WAKE BINADAMU NA NDUGU ZENU MAJINI.
Sioni logic hakuna sehemu ambayo umelazimishwa kijana , wewe ndio unaleta shobo ya kupotosha umma .

Hakuna kulazimishwa katika dini , soma surah 4:256 ''Hakuna kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua''

Mwishoe unakwamba , leta hoja usijibiwe unaleta makasiriko kama una mimba😀😀😀
 
Ok sawa.

Hata Biblia huwa naisoma sana, huwa inanishangaza mtu mwenye akili timamu kuamini ugoro ulioandikwa mle.

we jamaa UELEWEKI.
Ni bora kuhusu Bible umekuwa straight forward kuwa ni Kitabu cha kishamba ila kuhusu Kuran umekuwa na kauli Mbili.
Kuna wakati kuran umeisoma na haina AYA za kishamba na Kuna wakati Kuran inakuwa na AYA za kishamba.
P
 
DOGO, WEWE NI MAAMUMA. HUJASOMA QURAN KAMA AMBAVYO NIMESOMA NA AMESOMA SALMAN RUSHDIE.
Aaah dogo unajidanganya sana , kaa chini usome uache kufuata mkumbo ...Punguza ujinga kijana mdogo sio kila jamii ya waarabu ni muislamu . Moja kati ya papa wakuu pia walisome dini ya uislamu kaa chini utulie maana sioni hoja unaruka ruka . 😀 😀 😀

Wapo mpaka mapriest waarabu , tuliza mshono elimu yako ni ndogo ndio maana nikikupiga huku unaleta huku...Huyo jamaa yako ni pale anavyotafsiri ndivyo sivyo .
 
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
 
Ndio tatizo huwezi kukamata watu kwa kusema uongo zaidi unaumia roho wewe binafsi 😀 😀 😀 Mzushi , unaandika kwa chuki kama vile uislamu unakuzibia riziki .

Kile kitabu nimesoma mda wewe ulikuwa hata simu huna , mule ndani ni uzushi tu na uongo kama wako.
 
sometimes tunawachokoza tu bure waislamu. mbona nimefanya kurejea hiyo sura 4:101 wala haisemi hivyo
Imeeleza kitu tofauti. Basi ni dhahiri kuna waislama wanapotosha kwa makusudi kwa kutoielewa Qurwan vema.
 
Back
Top Bottom