Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Huo mstari unazungumzia makundi mawili.
Waliokoma kupata hedhi (hao wa menopause) na wasiopata hedhi, ambao kimsingi ndiyo hao watoto.

Kasome huo mstari mwanzo hadi mwisho kisha urudi tujadiliane.

Pili, hatuna shida yoyote. Ninyi ndugu zetu mko kwenye denial ya mapungufu ya kitabu cha waarabu, mnatuchukia kaka na dada zenu kwa ajili ya waarabu.
Sawa.
Ukitoa Wanawake waliofika menopause jee Wanawake wasiopata hedhi ni watoto pekee?

Kasome primary and secondary amenorrhea kisha Njoo tena hapa.
 
65:4
And those who no longer expect menstruation among your women - if you doubt, then their period is three months, and [also for] those who have not menstruated. And for those who are pregnant, their term is until they give birth. And whoever fears Allah - He will make for him of his matter ease
 
4:3.And if you fear that you will not deal justly with the orphan girls, then marry those that please you of [other] women, two or three or four. But if you fear that you will not be just, then [marry only] one or those your right hand possesses. That is more suitable that you may not incline [to injustice].
 
View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
Eh!😞
 
Screenshot_20240813-173522.png
 
Ndio tatizo huwezi kukamata watu kwa kusema uongo zaidi unaumia roho wewe binafsi 😀 😀 😀 Mzushi , unaandika kwa chuki kama vile uislamu unakuzibia riziki .

Kile kitabu nimesoma mda wewe ulikuwa hata simu huna , mule ndani ni uzushi tu na uongo kama wako.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
 
watu wanaoongoza kwakuua hapa duniani niwadini gani?

unawajua wamarekani wewe?unawajua warusi?waingereza unawajua?

ushawahi kusikia Saudia au misri wamepeleka siraha zamaangamizi nchifulani?

zinduka nabichwalako kubwa lililojaachuki zakijinga
Kanusha hivyo vifungu vya Allah wenu usichanganye habari za wamarekani. You can't justify wrong by another set of wrong
 
Sawa.
Ukitoa Wanawake waliofika menopause jee Wanawake wasiopata hedhi ni watoto pekee?

Kasome primary and secondary amenorrhea kisha Njoo tena hapa.
Okay, basi tufanye sio watoto pekee, bali ni watoto na hao wenye hiyo amenorrhoea.
Je, inabadilisha chochote?
Uislamu unaruhusu kuoa vitoto vidogo na mtume alioa katoto..
Hiyo Iko wazi, unabishania nini exactly?
 
Okay, basi tufanye sio watoto pekee, bali ni watoto na hao wenye hiyo amenorrhoea.
Je, inabadilisha chochote?
Uislamu unaruhusu kuoa vitoto vidogo na mtume alioa katoto..
Hiyo Iko wazi, unabishania nini exactly?
Hiyo ya watoto Pamoja na wenye amenorrhea umeitoa wapi kwenye hiyo aya?
 
Wewe ndiyo uliileta hiyo amenorrhoea kwenye mjadala.
Labda useme uliileta ya nini.
Mimi hoja yangu ni Kwamba kwanini hiyo aya isiwe inawakusudiwa Wanawake wenye shida kama amenorrhea pekee?

Wewe suala la watoto umelitoa wapi?
 
Mimi hoja yangu ni Kwamba kwanini hiyo aya isiwe inawakusudiwa Wanawake wenye shida kama amenorrhea pekee?

Wewe suala la watoto umelitoa wapi?
Context inadhihirisha hivyo.
Muddy alikuwa kaoa mtoto. Na si pekee, hata watu wake walioa vitoto visivyopata hedhi.
Sasa unadhani walikuwa wanaongelea wanawake wenye amenorrhoea? Unaongelea tatizo rare as if lilikuwa common kiasi cha kufanyiwa reference.
 
Context inadhihirisha hivyo.
Muddy alikuwa kaoa mtoto. Na si pekee, hata watu wake walioa vitoto visivyopata hedhi.
Sasa unadhani walikuwa wanaongelea wanawake wenye amenorrhoea? Unaongelea tatizo rare as if lilikuwa common kiasi cha kufanyiwa reference.
Si sawa kumdharau yule anayeheshimiwa na wengine. Unakuwa unajipunguzia Ushawishi wako kwa watu wenye akili mimi siwezi kuja hapa nikamtolea lugha chafu Yesu au Paulo kudhibitisha hoja zangu nitasikilizwa na watu wasio na akili.

Kabla hutujazungumzia suala la kuoa Mtume Muhammad .

Nataka nikuulize.. Wale wanawake Waliozaliwa na Hormonal abnormalities kiasi cha kukosa hedhi, na wale wanawake wanaotumia uzazi wa mpango kwa sababu moja au Nyengine,, na wale wanawake waliobidi kutolewa kabisa kizazi kwa sababu moja au nyengine.
WAKIJA KUULIZA "SISI HUKMU YETU NINI TUKIPEWA TALAKA??"

TUNGETOA MAJIBU GANI KAMA HIKO KIPANDE KISINGEKUWEPO KATIKA AYA HIYO?

Mind you hayo ni maneno ya Aliyeumba huu Ulimwenguni na alijua hali ya maisha kwa wakati ule na hata wakati huu na kuendelea.

Tukisema Uislamu umefundisha maisha yote ya mwanadamu kila hatua anayopitia Hiyo ndio maana yake.
 
we jamaa UELEWEKI.
Ni bora kuhusu Bible umekuwa straight forward kuwa ni Kitabu cha kishamba ila kuhusu Kuran umekuwa na kauli Mbili.
Kuna wakati kuran umeisoma na haina AYA za kishamba na Kuna wakati Kuran inakuwa na AYA za kishamba.
P
Quran isiwe na aya za kishamba?

Nionyeshe ni wapi nimesema hivyo.

Naweza kusema, Bible ni ya kishamba, but the Quran is worse!

Kwa haraka haraka, the Quran is an aborogation of the Bible.

Yaani, alieandika Quran alifanya Plagiarism. Alichukua maandishi ya kwny bibilia akayakopi, kisha akayabadili badili na kuongeza yq kwake.
 
Mimi siamini katika hizi hekaya za kuruwani na bibilia
Ni UTUMWA wa kifikra

Hebu check na hizi haya za bibilia pia 👇👇👇
Soma hizo amri kwenye Agano jipya
38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;
Mathayo 5:38

39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.
Mathayo 5:39

40 Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.
Mathay
o 5:40
 
Acha upumbavu lete aya ndani ya Quraan inayoeleza ulichokieleza sio unaandikiwa na mabwana zako wazungu nawevuna kopi utafirwa
 
Back
Top Bottom