Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Sawa.Huo mstari unazungumzia makundi mawili.
Waliokoma kupata hedhi (hao wa menopause) na wasiopata hedhi, ambao kimsingi ndiyo hao watoto.
Kasome huo mstari mwanzo hadi mwisho kisha urudi tujadiliane.
Pili, hatuna shida yoyote. Ninyi ndugu zetu mko kwenye denial ya mapungufu ya kitabu cha waarabu, mnatuchukia kaka na dada zenu kwa ajili ya waarabu.
Ukitoa Wanawake waliofika menopause jee Wanawake wasiopata hedhi ni watoto pekee?
Kasome primary and secondary amenorrhea kisha Njoo tena hapa.