Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Kudiscusiwa na great thinkerz it doeznt min uko special sana maybe we want 2 kutoaz le uchafuz in ur bichwaz u know! ur age is almost lebabuz u know¡¡ be lematurez u know

- Well, mtumzima kama wewe unasema unapoteza muda wako kumjadili mtu mjinga inasema nini kuhusu wewe? hahahahahahahahahahaha Chezeya Le Big Show wewe hahahahaha page 10, Viewers 13,000 siku ukijadiliwa wewe ujue umekufa mazafantazzz hahahahahahahahahahah

Le Mutuz
 
Kudiscusiwa na great thinkerz it doeznt min uko special sana maybe we want 2 kutoaz le uchafuz in ur bichwaz u know! ur age is almost lebabuz u know¡¡ be lematurez u know

Hata nikienda pale mlango wa ikulu nikashusha k..imba nitaandikwa hata zaidi yake,hapa cha msingi umaandikwa kuhusu nini!mantiki ya kuandikwa.Mburulla squared!
 
U see this is leujingaz unawatoto kweli??? Usinisemee kwa baba lakin..toa lecoverz la le vitz usikuz tayr u know!!
 
Attachments

  • 1415034312120.jpg
    40.6 KB · Views: 276

Kuna vijana hawana nidhamu humu,eti wanasema mfuko wa bukta yako unaingiza TV ya chogo ya inchi 21.
 
U see this is leujingaz unawatoto kweli??? Usinisemee kwa baba lakin..toa lecoverz la le vitz usikuz tayr u know!!

- Sasa unanikasirikia kwa kupiga picha na Super Star Wema Sepetu? Wewe ni kiranja wa kusimamia mavazi ya Taifa kwa nini hujamkamata badala yake mwanaume mzima unakuja kulia lia huku hahahahaha, sasa kama hili Taifa lina maadili sana hawa watoto mtaani wasio na wazazi wanatokea wapi kaka?

Le Mutuz
 
Hata nikienda pale mlango wa ikulu nikashusha k..imba nitaandikwa hata zaidi yake,hapa cha msingi umaandikwa kuhusu nini!mantiki ya kuandikwa.Mburulla squared!

- Sasa kwa nini usijaribu uone kama kuna wa kukuandika hapa, wewe sio Celebirty so utaendelea kunisoma na kunifuatilia maisha yangu mpaka Instagram ndio maana ya Big Star mimi sikuji wala sijui Instagram yako wewe unanijua ndio maana ya Big Star

Le Mutuz
 
Mi si kaka yako mburulaz...issue ni mzee unasifia lemtindiz kwenye media huna watoto?? Ur problem is ur not acceptn the reality
 
Nadhani umeeleweka vya kutosha , labda wengine hawapendi tu swagga zako for their own reasons
 
Nadhani umeeleweka vya kutosha , labda wengine hawapendi tu swagga zako for their own reasons

- Sasa imagine nisingejibu thanks kwa kuelewa!!, wananchi wengi sana huwa wananiambia wanafurahishwa sana na majibu yangu always hapa maana nio hoja bila matusi na FACTS

Le Mutuz
 
hahahahaha unanifurahisha sana kweli .......
 
Mi si kaka yako mburulaz...issue ni mzee unasifia lemtindiz kwenye media huna watoto?? Ur problem is ur not acceptn the reality

- Ulitaka nikusifie wewe kwa ujinga wako au what? Off course nasifia super mtindizi wa mabebezz wa ukweli U know sasa wewe utanisaidia nini mburulazzzz

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…