You know le mutuz anapenda sana mazoezi hata kama sebulen kwa mama kilango yeye ana piga tu hana shida kabisa you know
Hahajhahahahahaha
Kweli mjeshi kambi popote
Anangoja uzi ukimbie makurasa!usidhani hajui anajua anajadiliwa linacheka tu huko lilipo kama pulizo...Hahahaaaaa natamani aje kweli yaani...kwa nini ule uzi wa kinje ulifutwa?nilitoka kidogo kurudi sikuukuta tena
Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it
Hahahaha nilijua lazima ufutwe maana kulikuwa na name calling nyingi na matusi hahahaha uknw mabebiz wakarez wanamzimikia king of all social media hahahahahaha!!!!!!! I like it
Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it
Hahahaaaa hivi kuna mrembo ambaye hajapiga picha na Le Mutuz kweli?basi asijihesabie nae ni mrembo....
Ulisahau mwenzangu bado hajapiga nao wengine ila atahakikisha mwaka hauishi huu!,nasikia alimtafuta sana Sitti ili apige naye picha akamkosa kwa hasira ameamua amwanike wazi kuwa Sitti ana mtoto moro!
Hahahaaaaa subiri aje nakuambia...napenda majibu yake sana
King Kiba na King Lemutuz
Ulisahau mwenzangu bado hajapiga nao wengine ila atahakikisha mwaka hauishi huu!,nasikia alimtafuta sana Sitti ili apige naye picha akamkosa kwa hasira ameamua amwanike wazi kuwa Sitti ana mtoto moro!
Utakuta mama Kilango kamtuma shamba leo.
Hahaaaaaaaa yani wewe ni mchokozi sana aiseee
Lazima atumwe maana yeye mtoto na pili kula kulala.
Hahaaaa subiri aje natamani nikamuite aliko nimemiss majibu yake hatariii
Sijui leo kaenda kudananda wapi.
Wikiendi hii...sijui anapiga selfies wapi na wabebz wa ukweli