Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Wikiendi hii...sijui anapiga selfies wapi na wabebz wa ukweli

Hahahahhaha uknw ni mapicha na mabebiz wakarez kwa kwenda mbele hahaha !!!! I like it
 

Attachments

  • 1414921569099.jpg
    53.9 KB · Views: 444
  • 1414921600754.jpg
    50.7 KB · Views: 424
  • 1414921628577.jpg
    49.1 KB · Views: 424

Shangaa sasa...watu wanamchukia mtu na maisha yake...haombi/hajawahi kuomba cha mtu anaspend his own money iweje mtu umchukie?
Wanamuonea wivu mwaya kisa celebrity...
 
Haha haha haaaa hao wabebez ni wakarez u know...ndio maana madebe matupu yanapiga kelelez u know....

Hahahahaha u knw super gardem madebe matupu hawanisumbui maana Mimi nawazidi shule nina degree tatu hahhaha mazafantaz .....i like it..uknw
 

U act u knw le Mutuz but trust me u dont
N for your information no one ditch good life kwenda kupiga box us
Otherwise uniambie na ww ni walewale mambulula wenzie
 
well said. ..This is the most honest
genuine comment on JF
Fanyeni na nyie muone kama
Mtaonekana

Plus the most stupid comment also
She/he doeant knw kwamba wakina kim wanafanya business those are projects wanaandaa vipindi wanapata udhamini wanapiga mahela
Just the same way as mikasi and diary of lady jay dee
u wanna praise mbululaz be my guest but dont be that dumb
 

Mtake radhi kinje kumfananisha na lemutuz
 
Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it

tukiwa na wazee kama hawa watano nchi itaendelea
 

- Ahsante sana sihitaji kujibu tena, ubarikiwe mkuu sana!!, hahahahahahahahaha

Le Mutuz
 

1. The King of All Bongo Social Media Network Le Mutuz Nation, nina Degree 3 1. Marine Engineering niliisomea at Angtwerpen/Belgium 2. Ciriminology niliisomea at Westchester College/USA 3. Political Science niliisomea at Lehman College USA.

2. Nimeishi Belgium Miaka 6 ambayo nilikuwa ninasoma na kufanya Field Melini kwa katika kipindi hicho cha Miaka 6 nimefanikiwa kutembelea nchi zaidi ya 85% ya Dunia, na baada ya kumaliza masomo nikarudi bongo na kuhamia New York City/USA.

3. Nimeishi USA I mean New York City Miaka 25, nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja miaka 3 iliyopita, nilipofika tu niligombea ubunge wa East Africa, kura hazikutosha lakini nikagombea nafasi zingine ndani ya chama changu CCM ambacho nikiwa New York City nilikifungulia Tawi la kwanza la CCM toka tupate uhuru ambalo lipo mpaka leo, na CCM kwa kuheshimu kazi yangu wakamtuma Katibu Muenezi Nape kuja kunisaidia kulifungua lipo mpaka leo. Ndani ya CCM Taifa nilifanikiwa kushinda vyeo 3 na vifuatavyo ambavyo ninaendelea kuwa navyo mpaka MWaka 2017:-

1. Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa unaochagua Mgombea urais wa CCM.
2. Mjumbe Baraza Kuu la Taifa Wazazi/CCM
3. Mjumbe Baraza Kuu UVCCM Taifa.

3. Nina kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company Limited ambayo ni registered Brela na ina wafanyakazi 4 Vijana waliomaliza Chuo Kikuu cha Mlimani, hivyo nimesaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Taifa I hope na wewe umefanya hilo, Mimi pia ni Transportation Manager wa Chicasa ICD Mbagala Project, ndio maana kila Kampuni yangu inapokuwa na Meli nihamia bandarini kusimamia kazi za Kampuni yangu, Mimi ni Promoter wa Music na events mbali mbali ndiye ninayeratibu events za Intagram Party Tanzania Tour 2014 ambazo tulianza na Dar, Mwanza, Mbeya, juzi Dar Jumamosi ijayo Dodoma na pia sasa hivi ninatayarisha the biggest event ya music Tarehe 22/11/2014 at Escape 1 Beach Club ambayo itakuwa ni aina yake na kugharimu Mamilioni ya pesa kutoka wadhamini. Na pia mimi ni Balozi maalum wa kinywaji cha Shuda Cocktails kutoka London UK ndio maana majuzi nilikuwa na Diamond kwenye ufunguzi wa kampuni hiyo hapa bongo pale Serena.

4. Binafsi sio mwizi mali zangu zote ni za halali ndio maana huwa sina tatizo kuzitaja, Nina Shamba kubwa la Eka 5 na nyumba kubwa niliyoijenga Kinyerezi nikiwa USA, nina 3 Bedrooms Apartment Changombe na pia nina 3 Bedrooms Apartment hapa Mjini at Jamhuri Street hizi nimezipata baada ya kurudi nchini katika kipindi hiki cha miaka 3 niliyoishi hapa. Niliporudi nilishindwa kwenda kuishi Kinyerezi kwa sababu ya umbali na pofisi yangu ambayo ipo Gerezani kwa hiyo nikaamua kuishi kwenye tupu ya Baba yangu iliyopo Sea View mpaka pale nitakapopata Nyumba yangu, kwa hiyo baada ya kupata nipo kwenye nyumba yangu Jamhuri Street, sidhani kama ni ishu sana maana baada ya kurudi Tanzania after 30 years nje nilihitaji pa kuanzia na ninamshukuru sana baba yangu kwamba amekuwa na uwezo wa kuishi Dodoma akiwa na nyumba hapa mjini ambazo hazina mtu na ni mpoja ya niliyokuwa nikiishi.

5. Nina haki zote za kujisifia na kazi za Baba yangu siamini kwamba ni kuvunja sheria, ninamini na wewe una baba yako ambayo upo proud naye na kazi zake hapa Duniani. Ni kweli Baba yangu akiwa Waziri wa nje baba yake Wema Sepetu alikuwa Waziri wake mdogo, sijui kosa langu ni nini kwa kusema hivyo as a FACT!!

6. Mimi as Le Mutuz Nation ni Celebrity ninaalikwa kwa kawaida hata sehemu 10 usiku mmoja watu wanataka niseme nilikuwepo kwenye envets zao maana mimi ni The King wa Social Media, na hata ukienda kwenye my Instagram Wall utaona kwamba makampuni makubwa kama Airtel, na Vodacom watanatangaza matangazo yao ya biashara na pia ninawasaidia Wajasiriamali wadogo wadogo kwa kuwashindanisha my folowers at Instagram na kwuapa zawadi lengo ni kutangaza biashara za hao wajariamli wadogo waodogo wanaonilipa kwa kila tangazo.

7 Ni kweli nina marafiki wengi sana kwa sababu tabia zangu zinakubalika sana na wananchi wengi hapa Tanzania, ndio maana Mfayabiashara maarufu kama Omar Bahkressa huwa hakubali kupiga pichaa na mtu lakini anapiga na mimi, vyombo vyangu vya media vinatumika sana na watu wasiopenda ujinga kwa mfano majuzi mdogo wake Rais wa Jamhuri Kiwadinyo Kikwete alipfanya harusi aliruhusu vymbo vyangu tu kurusha picha zake za harusi, hii inaonyesha jinsi gani ninaheshimika sana na watu wengi muhimu katika hii jamii.

- Sasa kwa kumaliza kwanza naomba kukushukuru kwa mara nyingine tena kunipatia nafasi ya kuelimisha umma mimi ni nani, ninaamini kwa mwenye akili yoyote atakayesoma hapa atakubaliana na mimi kwamba unyemzungumzia wewe sio mimi maana ulichoandika ni majungu, chuki, wivu na fitina, soma tena hapa unijue vizuri mkuu, nezt time muwe mnauliza badala ya kurukia rukia watu msiowajua, wewe hunijui na ninasema hivi kama haya yote ninayoyafanya kwenye maisha yangu ya binafsi na jamii hayafanani na Degree 3 na umri wangu, ninaomba unipe mifano ya walio na elimu kama yangu na umri kama wangu na wanayoyafanya ndio nitajirekebisha kama ulivyotaka, otherwise kiss my left foot and mind your business ok!!

hahahahahahahaahahahahahahahahah

The King Of All Bongo Social Media Network

Le big Show
 
Nyambaf king alafu ana 299 likes while kuna vikapurwa uku mtaan vina like 3000

- Ok walete hao vikapurwa wako wa mtaani hapa JF kama watapata hata page moja tu ya kujadiliwa na Great Thinkers, tizama limetajwa jina langu tu hapa la biashara Le Mutuz Nation tayari page 10 na viewers 13,000 wewe unachezeya Celebrity tuliza boli wewe, thank you JF 10 pages 13,000 viewers bila hata mimi mwenyewe kuwepo that is wasap maana I love it!!

Le Big Show
 

Kudiscusiwa na great thinkerz it doeznt min uko special sana maybe we want 2 kutoaz le uchafuz in ur bichwaz u know! ur age is almost lebabuz u know¡¡ be lematurez u know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…