Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!
 
Uzuri wako we jamaa ni kitu kimoja tu ndo maana hata kama mtu anakuchukia hususani wanaume lakini atajikuta anakupenda tu....unajua kitu gani?huna madhara na watoto wa kike yaani ukishapiga nao picha kwako burudaaaniii...huwatamani wala nini kuwachapa nao!unaishia maneno tu!safi saanaa LE JOKAZ LA KIBISAZ.....wanakupaka unanuka mdomo lakini tunashangaa wenyewe wanajileta kupiga picha na wewe!wanakoma na mashati yako makubwa ya kinyamwezi!bei hawayawezi wewe unadhani jeuri unayoionyesha ya kuvaa shati kubwa moja ambalo linaweza kutoa mashati nane kwa mtanzania mwenye mwili wa wastani ni suala dogo...hawakuwezi kabisa!

haa haa haa
 
- Le mbebezzzz jamani nakupenda mpaka naumwa please marry me baby hahahahahahahahah I love it!!

Le Mutuz

Hahahahahaaaaaah ujue hii comment yako imenifanya nicheke mbele za watu hadi wakawa wananishangaa u know...
I like it u know.....
 
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!

Hata mimi nashangaa kwa kweli...watu mara waseme Le Mutuz ni age mate wa pinda and the likes...si bora huyu Le Mutuz ananichekesha naongeza siku za kuishi?hao wengine sijui akina nyalandu wana manufaa gani kwangu zaidi ya ufisadi?
Leo kaweka mali zake hadharani yote kwa sababu kazipata kihalali kwa hiyo anajiamini....ni nani mtoto wa kigogo leo hii atathubutu kufanya hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Haha hahaaaaa watu na bahati zetu...lol
Shoga nawe umeadimika kama kitu gani sijui...

Umeoga maji ya bahari mwaya lol nimechekaje, le mutuz anatuongezea siku,nipo wangu.
 
Haha hahaaaa yaani acha tu mwaya...nacheka hadi basi...kumchukia Le Mutuz ni kazi bure maana wala hajali ndio kwaaanza anakucheka
 
Ukimchukia huyo unajipa ugonjwa wa moyo bila gharama.
 
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!
Kula tano mama popote pale ulipo.
 
Hahahaaaaa ulikua wapi tokea jana?nipo na Le Mutuz u know...jamani nimecheka hadi basi....

Hahahaha nifah uknw Jana nilibanwa nilikuwa na pakua vitu kwenye Meli pale bandarini huku pembeni nikiwa na Mabebiz wakarez uknw!

Uknw super gardem mburulaz hawajui nilianzia mbali cheki hapo kwenye picha nikiwa na mabilionea wenzangu uknw.. mazafantaz.!hahahahaha I like it u knw
 
Attachments

  • 1415119759704.jpg
    1415119759704.jpg
    43 KB · Views: 196
Last edited by a moderator:
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!
KWELI KABISAAA ULICHOKIANDIK!! Watu wako bize sana na maisha ya watu...What For?smh
 
Akha...kisa cha kujipa presha ni nini....namkubali siku zinaenda...

- Jamani Nifah baby nakupenda mpaka naumwa U know le mbebezz mukareezzz U know hahahaha le Super mutindizzzzz U know me I love it please marry me baby for real U know!!

Le Big Show
 
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!

- Mkuu nasikia hapo karibu na nyumbani kwako kuna Club please nenda chukua chupa ya Gold Moet na supu gharama yangu nipe mpesa namba nitume U know hahahahahahahahaha genius!!

Le Big Show
 
Ukimchukia huyo unajipa ugonjwa wa moyo bila gharama.

- Jamani thank you very much JF, yaani page 14 viewers 20,000 post isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa kweli mnazidi kunipaisha juu sana U know buy the way:

- Le Mutuz Nationa Presents: "The All White Party" Jumamosi Tarehe 22/11/2014 at Escape 1 Beach Club Yamoto Band + Skylight Band + Barnabas + Rachelkizunguzungu jamani sio ya kukosa maana tuongee na kutengeneza pesa U know hahahahahahaha U know!!

Le Mutuz
 
hebu muachenni Le Mutuz aishi maisha yake. mmesema sana na haachi kwanini msimuache na huo utoto wake??? sio kila mtu ataishi kama nyinyi ambao mkoo perfect. mara mseme ana miaka 55 sasa pamoja na kuwa na akili nyingi mnafikiri mnaweza kumbadilisha mtu wa miaka 55???!!mara anaishi kwa babaake blah blah blah mlitaka aje apangishe kwenu???hapo anakaa kwa babaake mnapiga kelele je angepanga kwenu halafu akose kodi ya nyumba si mngekodi matarumbeta kabisa..... let him be whoever he wants and mind your own business
 
Tatizo wewe humpendi kweli Le Mutuz unamgeuka...kua really kwanza mumy
Mimi simchukii Le Mutuz kwanza hanijui,vilevile nimfagilie without gardem reason akati kaninyima kazi akuuu!
 
Back
Top Bottom