mama yuva
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 226
- 47
Hivi wanaume wanasema wanawake ni wambea, halafu hawapendani halafu wanasengenyana. Hivi mnaweza kutoka na kusema men mliochangia mjadala huu negatively tena kwa matusi ya nguoni, kwa kumnanga mtu maumbile yake nyinyi sio wambea, you are not malicious? Shame on you. Le mutuz yuko successful sana tu, kwani kama ameamua kudeal na ujinga wa wa TZ na ukamuingizia pesa kuna shida gani? Na katushika hasaaa, tumeacha kazi zetu kujaza pg 14 za comments! He is old, so what? wangapi baba zetu wamestaaf hawana hata nyumba, au wana nyumba za ovyo tu? Wangapi baba zenu wana dogo dogoz? Mti wenye matunda hupigwa mawe. Sisemi kwamba yuko right au anachokifanya na mie natamani kufanya, lakini what the heck! Its none of my bussiness!