kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Halafu kama mama mchungaji nadhani itakuwa nimejibiwa maombi yangu na bwana muumba wa mbingu na nchi.Haaaaaaa wewee Mimi ni mama mchungajii😅😅😅nilikuwaa nakupaa tuuu experience ndogoooo..yaisheeee mkuuuu
Nimeomba Kwa muda mrefu nimpate mama mchungaji. Nashukuru eeh muumba wangu Kwa kuniletea huyu. Nitakuwa naye daima na penzi letu litadumu daima,aamin